

Meneja wa Uchapishaji wa magazeti ya Serikali (TSN) John Mcharo akimuelezea Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Dk. Florens Turuka (aliyevaa suti) jinsi magazeti hayo yanavyoandaliwa kwa ajili ya kuchapishwa wakati alipotembelea kiwanda chao cha Uchapishaji kilichopo eneo la TAZARA jijini Dar

Kaka Michuzi. Shida yangu haihusiani na picha. Nipo Marekani. Nimepata taarifa sasa hivi kwa njia ya sms kuwa kuna ajali mbaya imetokea eneo la Kimara leo jioni(ijumaa) na kuua watu kama 20 walokuwa kwenye daladala. Naomba updates kama unazo maana niliongea na mtu alokuwa anapanda daladala mida hiyo. Am worried kwa sababu simu yake haipatikani tena na nyumbani hajafika.
ReplyDeleteMdau.
Asante.
duuuh
ReplyDeletenimemuona binti mmoja anaitwa IKUNDA ktk piche hapo chini,nafikiri yupo HABARI LEO.Nilipotezana na huyu binti karibu miaka 10 sasa toka niondoke bongo kuja huku State.Tulikuwa nae Moshi miaka hiyo. Plz Bro Michu naomba mwambie IKUNDA tuwasiliane thru email jjully777@yahoo.com
Naitwa Julius
Michuzi,
ReplyDeleteCheck Vizuri Jina la Huyo Katibu Mkuu, kuna tofauti kati ya Florence na Frolence
khaaa wee annon "IKUNDA"umemuonaje na picha ata sura haitambuliki vizuri?
ReplyDeleteme mumewe unasemaje weee kijana