Home
Unlabelled
vodacoma yaipiga taffu timu ya taifa ya kuogelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh Balozi,
ReplyDeleteKwanza naanza na pongezi kwa Bwawa la Maini, jana walisambaratisha mtu ktk FA Cup 2-0, ahahahaa.
Naomba kutoa changamoto khs ushikaji wa bendera ya taifa. Hapo kama unaona, bendera hiyo imeshikwa kimakosa kabisa, yaani huo ufito mweupe unatakiwa ushikwe na huyo wa mwanzo toka kushoto ili ianze rangi ya kijani na zingine zifuate.Kwa jinsi hiyo ilivyoshikwa, inaonesha rangi ya kwanza ni blue, hapo inakua ndivyo sivyo wadauzi.
Naomba mwongozo
MAKULILO Jr,
Makulilo, bendera si big deal, ni alama zaidi ya kitambaa na inaeleweka. Hata kama ni kijani bado iko juu. Hata kama kijani ingekuwa chini bado ni bendera tuu kwani ukianika suruali kiuno chini miguu juu, bado huwa ni suruali. Kwa kifupi nasema bendera ni tufe.
ReplyDeletehicho kikwapa hapo kwenye puple kinachefua arise beauty shop its ur time to shine mkabidhini huyu kamanda package ya deodorant
ReplyDeleteMichuzi nadhani huko mbeleni tuanzishe lebo ya kikwapazzz. Chunguza hizo picha.
ReplyDelete