Home
Unlabelled
wadau wa ughaibuni katika vekesheni bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah huyo mdau wa brooklyn no comment... lakini anyways, brooklyn is a ghetto area in new york,maybe that explains the dresscode.i thought ni mchizi tu wa kurasini or something..ni kwamba usa kumechoka au? naomba nisibaniwe,ni swali la kizushy
ReplyDeletewe misupu acha hizo, huyo jamaaa haishi brooklyn ya u.s.a mchizi huyo anaishi buguruni hapa bongo we humuoni tu mtu atatoka u.s.a na kiatu kimeisha soli namna hiyo ? jamaa namfahamu hata pasipoti hana sasa sijui anaendaje huko u.s.a
ReplyDeleteHappy new year my people ......
ReplyDeleteNdiyo Mr. Michuzi naona umechomekea mambo tambarare siyo ..Eeee bwana mie nikijaga bongo mbona huwa hatukutani na mie ukaniweka kwenye blog , lakini mtu wangu huyu mdau juu nina wasiwasi hata kama madukani kariakoo anaenda sijaongelea kuishi ughaibuni mshikaji choka ile mbaya du si hamini State imefikia hali kama hiyo ..sasa kama mtu anatoka state yuko vile je walioko Mtoni kwa Azizi Ally wana hali gani.?????????...
just my views i may be wrong but........
Wasalimie bongo mdau ..
Mdau wa Kamachumu
jibu kwa anonymous wa jan 6 10:49
ReplyDeletemdogo wangu BOKSI halitaki mbwembwe ndo mana watu hawavai kama unavyotaka wavae.
ila mshaji saivi Bongo joto kinoma sasa unaweza kupunguza uvaaji wa jinzi. kaba kama mshakji wa pili au mzee misupu...hayo ni mawazo binafsi sio sheria
wee hapo juu huijui NY city vizuri at Brooklyn ni getto. Ungesema Bronx ningekuelewa. Kwa taarifa yako kama hujafika hapa kuna wajewish kibao hapa na unajua tena Jewish people ndio wanadrive party of the US economy.
ReplyDeleteMichuzi malizia kuwa jina lake ni nani na mtoto wa nani so kuvaa have ni ku-fake ID tu..!! Hatakai wazushi wamjue waanze maneno yao..!! Kwani uliambiwa kuna dresscode tofauti ya mtu ambaye anaishi Marekani against wanaoishi nchi nyingine? Hata huyo jamaa aliyenyonga msingejua kama katoka nje mpaka mngeambiwa..!! Kuna tofauti gani kati ya mchizi aliyenyonga na wafanyakazi wa ofisi nyingine za TZ? Makini sense sometimes nyie wabongo..maana hizo comment zote sio za watu wa huku wanaomjua huyo jamaa!!
ReplyDeletejamani michuzi mbona unaukataa ushauri wangu? fungua ofisi ya blog airport!
ReplyDeleteOya wala vumbi acheni uzushi,wa ulaya tuacheni kama tulivyo, mshazoea waliokuwa wanakuja na meli bila passport, wakirudi kwenu uswahilini wanavaa mandaba na majeans kama nini sijui ndio mnajua mamtoni kiboko sio... basi kwa taarifa yenu dunia iliyoendelea watu hatumind (sio sisi wala wazungu) kuvaa kiivyo mnavyofikiria nyie... mchezo wa washamba wachache wa usahilini wakirudi na nguo kama wanamuziki ndio mnawaona babu kubwa sio wala nini, na joto lenu hilo mlitaka avaaje? Halaf akishavaa mnavyotaka nyie mnapata faida gani??? mind your own bzns wazee.. JASHO tu, hebu baogeni maji ya mamlaka ya maji taka na sabuni za mche huko... tuacheni tunaooga kwenye bathtabs... ebo...
ReplyDeleteACHANI KUWA JUDGE WATU KUTOKANA NA DRESSCODE ZAO HUYO JAMAA ANAKAA STATES KWELI ALIKUWA BONGO FOR HIS BROTHER'S WEDDING anaitwa steve tyson mtoto wa waziri ambaye alikuwa na hela zake kabla hata ya kuwa waziri nyie wabeba mabox mnakera kinomi!
ReplyDeletemigravy usinibanie hii ni vyema tuwaelimishe hawa wabeba mabox!
nyie mnakua kama hamjui,ni brooklyn, newala,mtwara sio USA .. si misupu mwenyewe kasema pale juu newala au hamjuiiii
ReplyDeletetuache kushabikia mambo ya kishenzi,sio siri jamaa kachoka hata mie na jua la bongo jamani nipo nadhifu
ReplyDeleteJAMAAA EEEH,JAMAAA KAAMBIWA AVAE IVO AKIJA BONGO,AKIULAMBA ATAPIGWA JUJU,SI NACHEKI,UKIKUTANA NAE NYAMALA HUYO UNAWEZA KUZANI WALEWALE TU!
ReplyDeletembona jamaa wanaonekama kama wametoka lindi?
ReplyDeleteaise kajiaibisha duh noma
ReplyDeletewe anonymous wa Tarehe January 07, 2009 3:12 AM huyo jamaa kaiva sana tu ni basi kaamua kuvaa vibaya anaitwa Steve Wassira mtoto wa Waziri Wassira kaja states miaka mingi tu iliyopita na habebi mabox kama wengi wetu humu ndani tunaofikiria dress code ina matter INFACT ukiwacheki katika familia yao jamaa kaiva kuliko wote :-)
ReplyDeleteKaka wa Brooklyn.... worry least! Your Polo Shirt Matches your Jeans! You look simple and elegant! Viatu ...twajua vumbi la bongo and you might have passed couple streets before meeting brother Michuzi! You look great and dont listen to these negative people in here.
ReplyDeleteAfterall... In the USA we dont have that time to worry about who dressed what! Its a shame if people back home in TZ still worry about that. Life has to change. Wabongo wa USA hakuna ulimbukeni. Wabongo wa Bongo you need to worry about maendeleo ya nchi rather than dress codes. Think about your future, think about you and your families. Forget about other people and thier lives! Worry about people who are naked and need to be clothed.
Mdau.
Mwana-dada, USA.
Watu na Marekani jamani...mimi nipo Marekani michuzi wala sikufichi sikupendi kabisa...cant wait to come home.
ReplyDeletemimi nafikiri kakutana na washkaji zake njiani akabadilisha viwalo akachukuwa vya washkaji..ndio akakutana na michuzi..au yaweza kua mtu ambae kakinai kimaisha hajali masuala ya kuvaa kwani sio wote wanaojali mambo ya kuvaa. ni hilo tu sioni kama anaishi usa basi lazima avae vitu vipya au vizuri sio kweli.
ReplyDeletewatu wakija wakivaa chain manasema wanavaa kihuni. Wakivaa casual kachoka jamani jela lipi litawaridhisha?
ReplyDeleteNamjua jamaa Stephen Wassira Jr, anaishi Brooklyn Heights, BK, NY... anafanya kazi Midtown Manhattan kwenye Private Equity firm... mshikaji yuko juu kishenzi.
ReplyDeleteKizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Theory ni kwamba ukiwa masikini ni lazima uvae vizuri sana ili upate angalau noticed. Kama ni unaenda kutafuta kazi, kuomba kura au hata kutaka kuibia wananchi ni lazima uulambe. Lakini kama unazo za kutosha na umeridhika na maisha yako mimi sioni sababu ya kuvaa sana, mfano mzuri Marc Cuban.
ReplyDeleteCha muhimu jamaa akitoka hapo kuna usafiri wa nguvu unamsubiri, jumba la nguvu, ambapo ndani kuna happy family inamsubiri, halafu account imetuna vizuri.
Hongera Steve hauko mwenyewe kwenye hili kwani wavaa ovyo tuko wengi.
mtu yeyote anayefikiri kuvaa ndio umarekani ndio maana haendelei.
ReplyDeleteKuna msemo masikini ukimpa pesa anaenda shopping ili aonekane "tajiti", ila mwenye akili ana fanya investment ili pesa izalishe aendelee kuishi a comfortable life style.
Its one thing to be rich and dress casual and be poor but insist on "looking rich".
get freakin life people...