Mhanidisi mwandamizi wa TANESCO Bi. Evalder Munisi (juu) na Meneja Mawasiliani w shirika hilo la umeme Badra Masod wakionesha miundombinu iliyovamiwa na wezi wa nyaya za umeme katika sehemu za Majohe, Pugu, nje ya Dar. Kiasi ma mita 2930 za nyaya hizo zimeibwa maeneo hayo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. akili matope ndio maana watanzania hatuna maendeleo

    ReplyDelete
  2. Serikali ndo chanzo cha yoote haya. Hawa ni wale jamaa mlowafukuza shule ya msingi: eti ma-tineja wamewashinda.

    Ukifukuza mtoto shule, unamnyima uwezo wa baadaye. Atakuja kumwibia yule uliyembakisha shule.

    Msitegemee saana magereza kwani dunia ya tatu polisi ni dhaifu na ni mnyonge tu anayefungwa.

    ReplyDelete
  3. sivyo hivyo ndugu zangu sasa watu wamechoshwa na tanesco wanaweka nyaya wakati hakuna umeme na uniwapigia simu wanakuja ze next day

    ReplyDelete
  4. anon wa 10:38pm naomba ukiandika uwe na data, sasa kuiba nyaya na miundo mbinu katika kijiji ambacho tanesco imejenga HT lines kuwafikia wakazi wa pale ili wao walipie service line tu wapate umeme unaona sio kitu ? cost zilizokuwa invested hapo ni more than 2billions, unapohujumu line kubwa kama hiyo ujue kujipigapiga na kujenga tena hapo will take more than 6 months

    ReplyDelete
  5. we Anon wa Tarehe 4/2009 10:29 pm.

    Nadhani haujakaa nakufikiria unachokisema,serikali inajitahidi kwa kadri ya uwezo wake,tatizo nisisi watanzania hatuna uchungu na nchi yetu, tatizo sio serikali,serikali ni chombo kinacho endeshwa na sisi binadamu ambao ni watanzania! Elimu yawatu kua na uchungu na kuipenda nchi yao ndo inatakiwa sasahivi kwawatanzania.

    Angalia watanzania wanapata nafasi ya kushika nyazifa serikalini au kwenye makapuni makubwa ya serikali lakini wanaishia kuiba nakula hela za taifa letu! sasahapo utailaumu serikali au ni watanzania walio wajinga ambao hawana uchungu na maendeleo ya nchi yao?

    Naukumbuke mtu mwenye uwezo wakuiba nyaya za umeme lazima awenashule kuhusu umeme, mtu amabe hajaenda shule awezi kuiba nyaya zenye urefu wa mita 2000.nawakina yona na mramba huwezi kusema hawajaenda shule, wezi wote wanao itia serikali hasara ni wasomi, angalia watu wote waliokua wanafanya ujambazi wakuiba mabenki wote walikua niwafanyakazi wamabenki hayo naniwatu walio soma,

    Nainawezekana kabisa watu walioiba hizo nyaya niwafanya kazi wa Tanesco hiyohiyo, kwasababu huwezi kuniambia mtu ambae hajui kusoma wala kuandika leo akajue kua huu waya hauna umeme sasa akakata hizo waya, sisemi haiwezekani lakiani nafasi nindogo kulinganisha na yule alie kwenda shule.

    WEZI WAKUBWA NIWALE WALIO KENDA SHULE NAWASIO NA UCHUNGU NA MAENDELEO YA NCHI YAO.WATANZANIA WENGI WAMESOMA LAKINI HAWAJA STAARABIKA!
    It is time to change, la sivyo kilasiku sisi tutakalia kuirushia lawama serikali tu wakati tatizo ni sisi wenyewe wananchi!

    Huyo mtu aliye chukua hizo nyaya ni mpumbavu na upumbavu wake naueleza kama ifutavyo;

    Hjui kwamba mpaka leo tanzania hatuna uwezo wakutengeneza hizo nyaya, tunaagiza nje, natukiagiza tunatumia hela ya watanzania na hela yakigeni inapungua kwenye hifadhi ya taifa, matokeo yake uchumi unashuka! alafu ukija kusikia watu hao hao,baadae wanailaumu serikali, oooh uchumi kwanini unashuka.

    2)Hizo nyaya kaiba, lakini itabidi tanesco wazirudishie, wakizirudishia hiyo inakua nigharama nyingine amabayo ilikua haija pangiwa, kwahiyo at the end of the day tanesco gharama hiyo wata iweka kwa wanachi, sasa mjinga nani wewe mwanachi au Tanesco? unakuta mtu anamuona yule aneiba alafua anasema,"acha awakomeshe" sasa anaekomeshwa ninani kama sio wewe mwenyewe mwanachi?

    Nawatanzania jinsi walivyo wapumbavu hawajui, kwamba kila unapo agiza bidhaa nje ndo unazidi kuudidimiza uchumi wanchi, kwahiyo nikitu tunacho takiwa kukichukia, ni kwamba nibasi tu tunakua hatuna jinsi, ndo maana tunaagiza vitu nje,lakini sio jambo lakufurahiya hatakidogo!lakini mtu anaiba tu ili wakaagize nyingine, hiyo ni akili au matope?

    Watanzania tubadilike tuipende nchi yetu,hapa ndo kwetu tutapenda wapi tena? tukiipenda nchiyetu itaendelea nakilamtu atanufaika, lakini tukiendekeza wizi? hebu fikiria kilamtu akiwa mwizi pale alipo tutafika kweli? kwasababu kuna watu wengine tunakua waungwana natunaipenda nchiyetu hatubi siokwamba hatuwezi kuiba au atujui kuiba!
    Kaeini mkao wakula kilamtu akiwa mwizi sijui tutajenga nchi gani? elimikeni watanzania.

    STAARABIKENI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...