TIMU YA TAIFA YA ZENJI KARUME HEROES IMEYAAGA MASHINDANO YA KOMBE LA CHALENJI CUP BAADA YA KUPIGWA BAO 3-0 NA RWANDA KWENYE MECHI YA KUTAFUTA MSHINDI WA KUINGIA NUSU FAINALI JIJINI KAMPALA MCHANA HUU.
SAA KUMI KAMILI (NUSU SAA TOKA SANA) KILIMANJARO STARS WANACHEZA NA WENYEJI UGANDA KWENYE MECHI YA KUKAMILISHA RATIBA YA MZUNGUKO WA KUNDI HILO LA A.


Du bora wangetoa Draw hii noma sasa tukifungwa na uganda bara nayo nje ya mashindano ok tunasubiri saa kumi na moja na nusu matokeo uturushe mapema tena kama hivi tujue mkuu wa District au sio
ReplyDeletenashukuru mtoa maoni hapo juu,kwani tangu juzi anayepost anafikiri tanzania ilisha qualify,tunatakiwa kumfunga uganda ili tuendelee,vinginevyo goal diff itaamua.
ReplyDeleteaah wapi!! Milingana point wanaangalia ni nani alikuwa mtemi kwa mwenzake mlipokutana; na iwapo mlitoka draw ndipo goal difference ina-play part. Vinginevyo mechi ya Kili Stars na Uganda ni kukamilisha ratiba tu.
ReplyDeleteHabari ndiyo hiyo ...