
Ni wakati mwingine tena ile party ya African Night inarudi kwa kishindo pale mjini STOCKHOLM.
Safari hii na manyimbo zaidi ya 1000 mapya kabisa kutoka bongo na nchi nyinginezo za afrika.
Party ya kwanza ya mwaka 2009 itafanyika kama ifuatavyo:
FRIDAY 27.2.09
TIME: 21:03
ENTRANCE: 100Kr
PLACE: REDLINE DISCO BARSÄTRA CENTRUM T-BANA
MORE INFO KWA PARTY ZIJAZO CHEKI:
WOTE MNAKARIBISHWA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...