Juu JK akisalimiana na baadhi ya wanafunzi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaoshiriki katika mpango maalum wa kubadilishana wanafunzi (Exchange programe) kati ya Ujerumani na Africa wakati wanafunzi hao na baadhi viongozi wa programu hiyo walipomtembelea ikulu jijini Dar leo. Chini JK akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi hao na waratibu wa programmu hiyo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. I never thought there were black people in Afghanistan...

    ReplyDelete
  2. HUYU NAE NA MKANZU WAKE, KAARIBU... NA NYIE KINA MICHUZI HMUWEZI KUMUONDOA HUYO?????????? DEEEEM

    ReplyDelete
  3. HUYO JAMAA MBELE KAPIGILIA MSURI
    KAMA ANAENDA MSIKITINI... THEN
    CHINI KATWIKA BUNANGO NA TABASAMU
    KUUUBWA.

    ReplyDelete
  4. there all over the world

    ReplyDelete
  5. annon wa # 1 unamaanisha nini??nani apo mweusi kaandikwa mu-afghan?aisee uyo jamaa pemben alovaa kanzu i love him

    dah JK totoz izo picha ya #1,,hahaa

    dah wasomiiiii,vibinti vya leo kaaazi kweli-kweli tutapona kweli?

    ReplyDelete
  6. ngozi nyeusi 7 tuuuu??tena utakuta ni nje ya Tz
    wake-up

    ReplyDelete
  7. Nilishtuka nilipoiona picha kabla sijasoma maelezo kwa jinsi wanafunzi hao wanavyopendeza na walivyoiva. Kwa uzoefu wanafunzi waliotoka kudahiliwa upya mara nyingi huwa na sura za kuchoka. Kumbe sio wanafunzi wa kibongo, hapo sawa.

    ReplyDelete
  8. Anon wa mwanzo mpaka wa tatu, UDINIIIIII, nyie hamkumwelewa marehemu baba wa taifa.

    Hamvumiliii, kila mtu ana uhuru wa kuvaaa atakavyo mradi havunji sheria.

    Na kama michuzi angechuja posting huenda zenu ndo zisingesomwa.

    ReplyDelete
  9. ahah! the big boy in kanzu must be mavo, mganda mmoja alikua SMACK-2005.

    ReplyDelete
  10. THIS IS THE FACT

    KWA WAHAYA NA WAGANDA KANZU NA KOTI LAKE NI VAZI LENYE HESHIMA SANA, BRO MICHUZI CORRECT ME IF IAM WRONG NAJUA WAGANDA NI WAKWE ZAKO.

    Raf

    ReplyDelete
  11. totoz......

    bassiiiiii

    ReplyDelete
  12. kumbe michuzi unaupendeleo? hao ma anony hapo juu wanaoongea pumba juu ya kanzu mbona huku wadelete? mbona mimi ile picha ya harusi nimekandia kuvaa maarusi mabega wazi ume nidelete?


    michuzi acha upendeleo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...