Wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakipiga kura kuchagua viongozi wao katika Mkutano mkuu wa 4 wa chama hicho mchana huu katika ukumbi wa Diamond jubilee hall huku wagombea Profesa Safari (mwenye kapelo) na Stephen Masanja (kulia) wakifuatilia kwa makini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nyie hamtaki kuexpand huku UK?Anzisheni basi matawi na nyie huku?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...