JK akimkabidhi hati ya kiapo, Jaji Kiongozi Fakihi Jundu, baada ya kumwapisha rasmi leo Ikulu, Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HIVI JAJI ANAPOAPISHWA NA RAISI JE ANAWAJIBIKA KUWA MTIIFU KWAKE NA SI KWA SHERIA? HIVI NI KWELI WAPINZANI WATAWEZA KUPEWA HAKI TOKA KWA JAJI ALIYEAPISHWA NA RAISI, HII INANIKUMBUSHA MHESHIMIWA MMOJA ALIYESEMA ALIPATA WAKATI MGUMU WAKATI WA KUTOA MAAMUZI AMBAYO YANGEWEZA KUMUONDOA RAISI MADARAKANI, INA MAANA ALIMLINDA RAISI; INAWEZEKANA ILE KESI YA MIL.900.00 AMBAYO MREMA ALISHINDA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...