Home
Unlabelled
JK na mama salma wamuaga mzee ullaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana wafiwa. Mungu awawezeshe na kuwapa nguvu. Kufiwa na mume au mzazi ni jambo zito mno.
ReplyDeleteRIP Mzee wetu, nilifanya kazi na marehemu akiwa chairman wa Board ya Iringa girls.
ReplyDeletePoleni sana ndugu,jamaa na marafiki wa marehemu popote mlipo na wakazi wote wa Iringa Mjini.Rambirambi za pekee zimfikie Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa kwa msiba huu mkubwa.Ndugu yetu Jeremiah Ullaya atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya mji wa Iringa na mkoa mzima kwa ujumla na kwa Taifa zima.Tuko nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi makubwa.Sisi tulimpenda,lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi!Kazi yake haina makosa.Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi,amina!
ReplyDeletePoleni wafiwa. Je wanaundungu na Ben Ullaya?
ReplyDeleteNamjibu Anonymous wa Feb 20,5:37pm hawana undugu na Ben Ulaya, unamtafuta?
ReplyDelete