baadhi ya wahariri wakisikiliza kwa makini maazimio ya jukwaa la wahariri ambapo pamoja na mambo mengine liliamua 'kumsamehe' waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. george mkuchika, ambake waliamua kutoandika mambo yake tangia mwezi uliopita kwa kile walichotaja kutopendezwa na maamuzi yake. jukwaa pia liliazimia kutoa onyo kwa maandishi kwa ITV kwa kukiuka makubaliano ya kuandika na kutangaza habari za mh. mkuchika kinyume na makubaliano. jukwaa la wahariri ni chombo kinachoongozwa na sakina datoo, mmoja wawahariri waandamizi wa magazeti ya ipp media.

Whaaaaatt!Are these people watching a Movie or something? in the name of Mpukuchika or chika somesing!Wahariri acheni kuwa serious hivyo jamani,the news will melt!
ReplyDeleteWamemsamehe kwani amewaomba msamaha? Acheni kutuzuga.
ReplyDeleteWao pia kumsusa Mkuchika nalo ni kosa! Two wrons do not establish a rightiful pedestal!
ReplyDeleteAcheni utoto, nyie "eti"wahariri!
Ati wamemsamehe? This is a joke! Wanafanya hivyo baada ya Mkuchika kuwaambia kuwa kama wamemsusia basi wasiandike kabisaa habari zinazohusiana na matukio yanayomuhusu, badala ya kuripoti matukio hayo na kuandika jina lake kama Mr. XXX.
ReplyDeleteWamemtupia "bomu" lakini lime boomerang kwao!!
nothing was missed! hata wangeendelea kususa hakuna tofauti. Uhusiano wao na mkuchika si sawa na mwanamuziki na producer!
ReplyDeleteWamechemsha. Next time "wakishikwa" nao wajue wapi pa "kushika"!
Nyie Mwasusa, wenzenu ITV wala!, sasa mwala msuso? kweli msuso kisusio!
ReplyDeleteAKILI NI MALI KILA MTU ANAZAKE, ETI KUSUSIA MAMBO YANAYOMHUSU MKUCHIKA MBAMBO GANI, YA FAMILIA YAKE? KAMA KUHUSU KAZI YAKE KAMA WADHIFA, BASI HAYO SI MAMBO YAKE NI YETU YUPO PALE KAMA MAJIRIWA NA SISI KAMA MTASUSIA KUANDIKA HABARI ZA WIZARA YAKE NI MAKOSA MAKUBWA HAYO SI MAMBO YAKE NI YETU SISI, EBU NENDENI SHULE NYIE WAANDISHI UCHWARA MSIOELEWA MAMBO. MIMI SIDHANI YEYE ANAHITAJI MUMUANDKIE MAMBO YA FAMILIA YAKE? WAla haya faida kwa sisi ni yake hayo susieni tu si haya yetu ya wizara anayosimamie, huo ni umbumbumbu na upuuzi mtupu
ReplyDeletembambo yake? yepi ya familia yake, kwani yeye anahitaji mambo ya familia yake yaandikwe magazetini, au mambo anayosimamia ya serikali? hayo ni yetu mimi na nyinyi waandishi wa habari si yake, nendeni shule nyie mbumbumbu
ReplyDeletemngempa adhabu ya kumchapa viboko 12 va matakoni angetia akili si haka kaadhabu kadogo tu aaah habari ndo hiyo cku nyengine mjue cha kufanya
ReplyDelete