Ndugu zangu, Nakufahamisheni maduka yanayouza kitabu sasa yako manne:
Furaha Bookshop Mtaa wa Msimbazi na Uhuru
Amnet Bookshop Mtaa wa Livingstone na Msimbazi
Ibn Hazim Bookshop Mtaa wa Lumumba na Mafia (Mkabala na Msikiti wa Manyema)
Khartan Bookshop Mtaa wa Narung'ombe na Swahili
Maduka yote yapo kwenye kona ya mtaa (junction).

Ahsante,

SOMENI KWA FURAHA!

Mohamed Said
Mob: 0787 265 766

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mkubwa,
    mimi naona ungetufahamisha kabisa kiasi cha kujipapasa ili kupata kitabu hicho

    Mdau wa Kinyerezi

    ReplyDelete
  2. Halafu Biashara za Bongo Kichaa kweli! Sijui huwa watu wanaonaje kutaja kabisa bei ya kitu!!

    ReplyDelete
  3. kaka Mohamed hongera kwa kazi yako nimemtuma mheshimiwa aniletee kitabu huku (UK) Ahsante.

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi/Mohamed
    Tuandikieni 'mapitio' tupate kujua kwa muhtasari. Sisi wengine tuko mbali na nyumbani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...