cheki kiwinta kinavyotesa hapa helsinki mdau. shukuruni sana huko home kwani huku jua ni kwa miezi mitatu tu. siku zilizobaki ni kama hivi. yaani balaa! - mdau scolari



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Sasa mzee mbona hayo ya kawaida tu, hapa USA hali ni hiyo hiyo, najua kuwa Finland winter ni zaidi, lakini kama hali ngumu mzee rudi tu DAR kwenye hali ya uliyoizoea,

    ReplyDelete
  2. USA sehemu gani wee annon?

    mdau rudi tu bongo,what kind of life is tht?labda uwe umezaliwa uko-uko khaaaa

    vipicha vya kuonyesha home ukirudi hahahaaaa

    ReplyDelete
  3. We anon 11:25 AM Hater or?
    Finland kuanzia Chekechea mpaka PhD unasoma bure.Social security ya uhakika ukiwa na karatasi.So kipi muhimu kula nondo kwenye baridi?,kurudi bongo bila nondo au kupiga box na kununua vijipamba vya kutishia nyau huko we uliko?
    Think about the future dude!

    ReplyDelete
  4. wee mdau wa usa sasa kwani umeambiwa haya mashindano???mara useme kama usa mara useme finland barafu imezidi hueleweki.kila mtu anajua barafu la scandinavia sio sawa na usa au ndio ujulikane na wewe uko majuu??kaka wa ufini pole sana

    ReplyDelete
  5. do!mungu wangu hivi ufini !ndivyo kulivyo? sasa mimi nashangaa yule mchizi ras makunja ana ngoma afrika yake heti aliamua kuja katika hali hiyo!kama si wazimi kitu gani?!

    ReplyDelete
  6. ACHENI UONGO NINYI,HAKUNA SEHEMU DUNIANI KWA SASA ILIYOKATIKA HALI HIYO MWAKAMZIMA. FINLAND HALI HIYO KWA BAADHI YA SIKU NI MIEZI MITATU TU, KWA NINI MNAPENDA SEMAUONGO.NA HUYU ANO WA USA NAYE ETI ANACHEKA, MNAMAISHA GANI MAZURI YA KUCHEKA BONGO KAMA SIO UTUMWA TU, KUBALINI KUWA MNAISHI MAISHA YA KUBANGAIZA.
    KWA WANAOSOMA NAJUA HAYO NI MAPITO,MSISAHAU KURUDI BONGO,NCHI YA AHADI.NA MSISHABIKIE MAISHA YA ULAYA NA USA, NAJUA NI MATESO KWENU.

    ReplyDelete
  7. Duh bongo Dar es Salaam ingekuwa hivyo wamachinga wangefanya biashara kweli!

    ReplyDelete
  8. Anon 4:54, jamaa hasemi uongo. Umeshakaa Finland kwa muda mrefu au umeshafika? Winter huanza mwezi October na kumalizika mwanzoni mwa May. Makali ya winter yantofautiana miaka na miaka, lakini kusema kweli winter ni ndefu mno. Wakati wa summer ni kuanzia June mpaka August tu, ikishafika September Autumn inaingia, ambayo nayo ni baridi, na mvua nyingi.

    ReplyDelete
  9. Kwa taarifa hii picha ilipigwa siku ya joto kali.

    ReplyDelete
  10. mwenzenu piga ua, galagaza naipenda winter. vikwapa vinakuwa hamna,

    ReplyDelete
  11. napenda sana ulaya na marekani kuliko bongo sababu huku bwana kuna haki, elimu, kujituma, maisha mazuri na mengine mengi zaidi! ni wewe mwenyewe tu. maneno yawakosaji sisi hatusikilizi tunasonga mbele

    ReplyDelete
  12. utumwa mtupu!!!

    ati ukiwa na karatasi nk nk..so what?life unaloishi uko sawa na mzawa?kazi kuchamba mizee ya kizungu,na kazi za kitumwa...
    ati bongo ovyo!adharauye kwao ni mshenzi na mtumwa,hana jipya

    ReplyDelete
  13. mhh amakweli sikuona sababu yakubishana wat the hell are we doing we r acting as if we r not educated jamani mdau ameweka picha kuonesha snow ilivyonyingi anakokaa kama wewe uko usa uko wapi uko wapi ukipenda piga picha ya snow na wewe uweke its a blog ambayo tunaweka picha sioni sababu yakusemana na kujibishana we have to grow up if we r not ndio maana hatuendelei kwamajungu jamani lets wake up n leave every stupid thing behind. mdau suomiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...