Do you remember the music group BONEY M? Mdau AYOUB MZEE WITH SINGER MAIZIE WILLIAMS of BONEY M in London recently

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hii picha inanichanganya. Hawa walijiandaa kwa picha au mpiga picha aliwapiga wa kuwashtukiza?

    ReplyDelete
  2. NILIZIPENDA SANA NYIMBO ZA BON M SIJAWAHI KUONA HATA WANAMUZIKI WENYEWE AU VIDEO YAO ENZI ZA KASETI DADA KAPEWA MDOMO MZURI WA KUIMBA LOL

    ReplyDelete
  3. Knowing me knowing you...
    There's nothing we can't do...
    Knowing me knowing you...
    We can reach the skiiiiieeees..
    La la la la la...

    ---
    Ilikuwa tamu sana enzi hizo, japo mi ni wajuzi juzi nakumbuka madingi walivyokuwa wanacheza SANTURI za kina BoneyM.

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa 10:53 Know you knowing you" ulipigwa na ABBA.

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa 1053:
    Hiyo uliyoandika ni wimbo wa ABBA na sio Bo M. Wao wana Daddy Cool nk
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  6. mdau sidhani "knowing me knowing you" waliimba Boney M walikuwa ABBA Group nyimbo za Boney M ni kama:
    Ma Baker, Bahama mama, The story of Elute,

    ReplyDelete
  7. Hivi ni nini kazi ya Mwanahabari??
    Maana kusema kweli mimi huwa simwelewi kabisa mwandishi huyu au labda yeye ndio habari yenyewe??
    Mzawa

    ReplyDelete
  8. Huyu Ayubu Napiga picha kama anasuta mtu vipi babu? Relax!

    ReplyDelete
  9. Ayoub asante kwa picha lakini umeniangusha kwa kitu kimoja

    Angekuwa ni Michuzi angekuwa ameshapiga mikonozzzzzzzzz wewe mikonozzzzzzzz umebania!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  10. Kwa yule aliyesema hajaona video zao....hujui YOUTUBE?? zipo videoz kibao...check them out, ila walikuja break out vibaya hii group waliyupiana law suits na ikawa messy. Hawaongei tena mpaka sasa.

    ReplyDelete
  11. Wimbo wao 'Mary's Boy Child' ni maarufu hapa Marekani wakati wa Krismasi, lakini watu hawaijui Boney M na hata kuwa ni weusi kutoka Ujerumani.

    ReplyDelete
  12. Wenye midomo mipana ni waimbaji wazuri sana!

    ReplyDelete
  13. wee us blogger" apige mikonozzzz?athubutu aone,mwanamke mwenyewe kakaa kaa mcheza judo au mieleka!angemzaba kofi ilo,adi ayubu akome na iyo sura ya "kwanini" "mjiju"
    hahahaaaaa bro umekaa kishari kinoma wee kabila gani???

    midomo mikubwa??wajereman weusi??

    ReplyDelete
  14. Felis"navida, maana yake merry x"smas,hao ni waimbaji wa kiblack na ukitaka nyimbo zao zote mpaka ile ya malaika nakupenda ila wao wanakosea kidogo wanaimba nakupende, nenda yutube andika boney m then clic kisha utaanza kufurahi na roho yako!

    Mdau canada!

    ReplyDelete
  15. anonymous wa 4:11pm

    Punguza uoga, hapo mikonozzz isingekuwa shida ili mradi ujue nini cha kusema kabla ya kupandisha mikonozzzzz, hahaha

    Hapana, sipendi shari ila napenda kupandisha viwango, wazungu wanasema raising the bar.

    Kama ni picha nataka ipendeze zaidi, kama ni mdahalo basi uwe live ili tofauti kati ya mwanaume na mvulana ijujikane.

    Hahaha!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  16. Thanx, kwa kutukumbusha, Boney M. Nakumbuka vibao vyao kama Boo noo noo noos, Bahama mama, Ma Baker, Crazy like a Full, Malaika, I see the Boat on the river, babylon, dady cool na vingine vingi. Ningependa nim-challenge mmoja wa watoa maoni aliyesema knowing you knowing you kweli kama wachangiaji waliopita vilipigwa na ABBA. Kwa anayetaka kupata nyimbo za Boney M anaweza kuzipata katika duka linaitwa Old School Music Industry Entertainment wanaweza kukutumia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...