Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duh!!! KP wewe ni kiboko. uliyoyaandika ndiyo ukweli mtupu. Wengi wa wakosoaji wana rekodi mbaya ya matumizi ya pesa au ofisi za umma na mpaka leo hawajakiri makosa yao mbele ya watanzania lakini bado wanalazimisha tuwaone wao wasafi kwa kukosoa wenzao walipo sasa; na kwamba enzi nzao hawakufanya makosa. Watu hao wapo wengi sana na hasa wengi wao ni wanasiasa. Wakiri makosa yao kwanza ili tujue walikosea wapi ili turekebishe makosa yaliyotokea

    ReplyDelete
  2. Wambie masoud usiogope.Lakini ndiyo mambo ya "double standards" hayo.Cartoon imetulia sana hiyo,nakupatia 9/10.

    ReplyDelete
  3. Hizi ni mbinu za kishushushu za kuchokoza mjadala,kisha wajanja wanakaa pembeni kusikiliza wajinga watakavyo ropoka na hatimaye kutathmini hali ya kisiasa nchini!Lengo ni kubainisha mikakati ya kudhibiti aina yoyote ile ya upinzani.Hasira za wananchi zikielekezwa kwa yule ambaye hatakiwi katika system basi hiyo itakuwa Tijara kwa Mafisadi!Ukisema nchi inaoongozwa kienyeji kabisa unamlenga nani?Bila shaka utakuwa unahoji udhaifu wa kiuongozi wa Rais wa Nchi!Halafu iwe nini?Huzungumzii Udhaifu na Mapungufu ya Katiba ya nchi ambayo kwa hakika ndio chanzo kikubwa cha mkanganyiko wote huu katika Uongozi wa Nchi!Huzungumzii kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili makosa yaliyofanyika huko nyuma hayatorudiwa tena!Hapa nchini kuna kikundi cha watu wachache sana ambao kwa kudekezwa toka zama hizo wakajisahau na kufikiri kwamba wao ndio wamiliki wa nchi hii.Uongozi wa nchi ndio wao na wao ndio Uongozi wa nchi.Bila ya wao nchi hii haiwezi kwenda.Wanapata jeuri hiyo kwasababu wameshatambua fika kwamba watanzania walio wengi ni maskini sana wa kipato!Kwa "system' ambayo waliijenga wao siyo rahisi kwa yeyote yule kutoka kundi hilo kupata mikopo kutoka benki yoyote ile.Hata kwa wale waliofanikiwa kupata elimu hadi ya chuo kikuu na kuajiriwa na serikali moja kwa moja kwa mishahara duni sana nao pia hawana nafasi wala uwezo wa kupewa mikopo toka benki yeyote ile."Ni Rahisi sana kuwatawala watu masikini wasio na kitu"."Na ni rahisi zaidi kuwatawala watu waliogawanyika kifikra na kimaslahi - Divide and Rule".Hizi ni mbinu zilizotumika toka enzi za kikoloni kabisa!The current generation of Tanzanians is just Too Smart for that,Kitine!Tunajua mnataka kukusanya kura za maoni kutoka kwa watanzania wajinga ili mpime Rais Kikwete anakubalika kwa kiasi gani miongoni mwa wapiga kura,iwapo uchaguzi ungefanyika Leo?Nasikitika jibu hilo hamtalipata kirahisi kama mlivyo kusudia.Nafikiri Kipanya ujumbe umepata kupitia bao lako la Draft au Chess bila Kete!Kamba ukiivuta sana mwishowe hukatika.

    ReplyDelete
  4. TAFSIRI NILIYOIELEWA MIMI NI KWAMBA, UKIWA NDANI YA LUPANGO HUNA UJANJA. uTAOZEA HUMO HUKO. HAKUNA CHA KUSEMA WEWE MJANJA AU NINI, MSOMI, WAZITI, TAJIRI, MHESHIMIWA NK. LAKINI SIKU UKIBAHATIKA KUTOROKA UTAZIONA NJIA KIBAO ZA KUEPUKA KUFUNGWA, IKIWA NI PAMOJA NA KUKIMBIA MBILIA MBALI SANA. KAMA MTU WA EPA ALIYETOROKA,, AMEPATA UJANJA WA KUTOROKA AKIWA NJE, ANGEKUWA NDANI ANGETHUBUTU KUTOROKA? WANGEMWACHA? AAAAA WAPI.

    Mdau, states....

    ReplyDelete
  5. Nakubaliana na mtoa comment wa kwanza. Katika magenius wa sanaa duniani KP pia umo. big up!

    ReplyDelete
  6. Mdau namba nne jaribu kufungua ubongo kidogo, sio kutoa maoni yasiyo na kichwa wala miguu.

    ni kiasi cha kuchomeka data given ili u-solve hiyo equation.
    Data given:
    A.Dk Hansy Kitine
    B.Mamilioni ya kumtibu Mkewe
    C.Kulaumu SERIKALI
    D.Yeye alifanya nini alivyokuwqa mkulu

    ReplyDelete
  7. mdau state umeenda pembeni kidogo....issue ni ukiwa kwenye office za umma then ukastaafu unakuwa unaona makosa mengi sana wakati ukiwa huko ulikuwa huyaoni

    mdau netherlands

    ReplyDelete
  8. Hey, guys, Mjengwa says, picha mpja maelezo au tafsiri 1000. Ama picha mpja tafsiri mbalimbali. Sasa wewe unayetoa data, nani kakwambia. Fasihi kama sanaa, hutupa uwanja wa kutafsiri kitu kimoja kwa namna mbalimbali kulingana na mazingira tunayoyaishi. Kwanini wewe ulazimishe kuwa Hansy Kitine ndio anayehusishwa na hiyo picha? Nakubali kuwa Kitine anaweza kufiti kwenye hiyo katuni, lakini ukimuliza mchoraji, anaweza kukupa namna ibao za tafsiri ya hiyo picha. Mna matatizo, mnaslove kila kitu kama equation ya kemia ambayo siku zote huwa ni moja tu. Ndio maana watu kama nyie mkipewa mada hamwezi kuijadili kwa upana. Mtaeleza upande mmoja tu wa shilingi. We are not bound to think the way you and your family or your wife/husband think. We experience different world , and therefore we are not bound to a single association. What we are doing here is association and not direct relating of things. Pambaf!

    ReplyDelete
  9. mdau wa state uko nje kabisa ya mstari wa kifikira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...