Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii picha sijaielewa inaonekana kama Mh. Wayiri mkuu kwenye picha zote mbili au Kipanya alidhamiria kumchora JK huyo jamaa wa katikati

    ReplyDelete
  2. Hata reli ya kati enzi za jerumani iltandazwa kwa mboko na kazi ilienda vizuuuuuuri, matunda hadi wakati huu wa mafisadi wanafisidisha shirika.IKIBIDI..... vitumike tuuuuu

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi pamoja na picha kutoeleweka, ni kwamba napenda kumpongeza sanaaa huyo DC, kwa kitendo alichofanya, tumechoshwa na huu utapeli na ufisadi. watu wanakula mishahara ya serikali bila kufanya kazi yoyote, ilimradi tuu ameweka KOTI au POCHI ofisini na kutoka siku imekwisha. ukiwapeleka vyombo vya sheria wanatumia ujanja na kuendelea kazini hakuna upimaji wa kazi (Performance Development Review) hata siku moja. wanaishi tuuu watoto wanakosa elimu na tunakosa maraisi na viongozi wenye utashi. HONGERA DC !!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi sana DC wa Kagera!!!
    yan nasema ivi ikiwezekana wajeshi waingie kuongoza baadhi ya sekta Tanzania wachape watu bakora wafanye kazi ipasavo sio twisheni afu darasan huingii
    DC OYEEEE,USIJALI UTAPATA KAZI

    ReplyDelete
  5. sasa kwa nini huyo dc hakumchapa mwalimu mkuu kwanza? alafu na wewe kipanya huo mchezo wako wakutolea mifano dini za watu utakutokea puani, ulikileta kikatuni fulani,watu walipoona mbali ukamwambia huyo swahiba wako akitoe haraka, wewe kweli kipanya.
    lakini angalia sana kwa binadamu, kwani panya uwekewa sumu na kupotea!!!!
    haya sasa nahii msg michuzi usiitoe kama sio ufisadi wa kijinsia.it means that, ya kwanza ilifisadiwa!
    MDAU kada!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...