Mdau Bernard Rwebangira anashindwa kuelewa mashine kubwa na nyeti kama hii iliiniwaibiwaje? ungana naye kujadili hilo kwa kubofya hapa
Home
Unlabelled
LILIYEYUKAJE HILI DUBWANA??????????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hebu waweke security camera kuwabana watu wanaoiba vifaa kama hivi kaa watanzania bana!
ReplyDeletecontrol console sio machine kubwa ni hiyo remote yenye waya
ReplyDeleteHIYO MASHINE KAMA NIJUWAVYO INA MLOLONGO WA SYSTEMS SASA ALIIBA SYSTEM NZIMA AMA KIBANDE TU, KAMA MLOLONGO WOTE BASI NI HAO HAO WAFANYAKAZI WANA HOSPITALI ZAO NJE YA HAPO, SASA WEZI WEMEENDA UZA WAPI? NJE YA NCHI! WEZI NI WENYEWE STAFF NI CHANGA LA MACHO TU, NI UZEMBE MTU APO AMWAGWE MLO.
ReplyDeletepiga ua INSIDE JOB
ReplyDeletetatizo hatuendi na wakati,namuunga mkono mchangiaji wa kwanza.Inabibidi waweke CCTV sehemu zote nyeti za hospital.Vinginevyo tuanze kuchapana viboko tu.....
ReplyDeletehaikuibiwa, iliwekwa kwenye boksi tu wakajifanya kwamba wamesahau kwamba wanayo.
ReplyDeleteThen waka-iagiza na kuinunua mpya hewa.Fuedha wakagawana hao, hamna lolote. Kisheria huwezi vaa shati kama hilo bila koti jeupe au la kijani na kumhudumia mgonjwa.
Tatizo Tanzania, ukishakuwa expert basi hutaki makoti au sheria za nguo zinatokaiwa kuvaliwa , unataka mashati mazuri ya ofisi na suruali za kitambaa.
Huyu jamaa ofisa!!! au.
Acha ushamba iliyoibiwa ni control console—ambayo ni device ndogo kama kompyuta inayoongoza na kuendeshwa kwa kutumia mwanga wakati wa kumpima mgonjwa, au hilo li- CT SCan.
ReplyDeleteAliyeeiba ni huyo huyo jmaa hapo anaeonekana ameva shati la bia. Maana ndio anajua kazi yake ni nini. na wapi pa kuiuza. Ikipotea kitu kama hicho hapa India, nafukuzwa mlinzi, na wafanyakazi waliokuwepo siku hiyo hapo ofisini siku kifaa kilipopotea. hii inawafanya watu hapa India hospitalini kutokuwa wezi. Maana kibarua kitaota majani wakati sio wao walioiiba.
ReplyDeletehapo ilikuwa nikutembeza bakora kwa wafanyakazi wote mpaka wangesema nani kaiba.
ReplyDeleteNinavyojua mimi hayo maeneo yana matukio ya wizi wa ajabu ajabu sana sitashangaa kusikia siku moja ikulu kumeibiwa
ReplyDeleteannon apo juu mesema kweli kabisa,,hiyo ni "biashara ya wazi"kama kawaida unanunua vifaa "hewa" afu mwagawana bonus ya mwaka,,hahahahaaa
ReplyDeleteinauma sana,,
ajavaa koti ndo utaratibu?
Nilitaja jina la mwizi lakini naona mwenye blog kaminya. Naelewa. Basi mkitaka kumjua mwizi muulizeni CEO wa ORCI anamfahamu vizuri sana mwizi ni nani. Na Wizara ya Afya inamjua.
ReplyDelete