Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IFM) anayeshughulikia Afrika Samuel Itan (katikati) na Mshauri wa Mkurugenzi huyo Ahmed Ndyeshobola (kushoto) kuhusu maandalizi ya Mkutano wa IMF na Afrika utakaohudhuriwa na Mawaziri wa Fedha na Magavana kutoka Nchi zote za Afrika utakaofanyika Nchini tarehe 10 – 11 mwezi wa tatu mwaka huu . Washiriki kutoka Zambia, Misri, Cameroon, Senegal, IMF na wenyeji Tanzania walishiriki mkutano huo

Brother Michu kazi nzuri sana.Ila nimecheka sana kwa sababu kuna sehemu kweye picha hii badala ya IMF umesema IFM,nimefurahi sana kwa sababu you sent me all the way back to 1998.
ReplyDeleteWe were in daladala,jamaa mmoja(mzalendo)akaanza kuongea kwa sauti mle kwenye akilaani masharti magumu ya IMF mikopo kwa nchi masikini.Akasema kwa sauti,"tena hao IMF wana chuo chao hapa kinaitwa IFM,bora waje wakitoe,haiwezekani wawe na chuo chao hapa halafu wanatufanyia mambo kama haya".Watu tulivunjika mbavu mle kwenye daladala.
MDAU.