tbl kupitia kilaji chake cha safari lager kimezindua shindano kabambe litaloshirikisha baa kushindana kutengeneza nyama choma na zawadi kibao kutolewa. pICHANI NI Meneja wa kilaji cha safari lager Fimbo Butallah (kati) akiwa na viongozi wa Umoja wa Wamiliki wa Baa Wilaya ya Ilala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. iron chef inaanza sio kweli bongo tambarare

    ReplyDelete
  2. Tueeleze wabongo Iron chef ,maana yake nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...