mdau solomon haule na mai waifu wake consolata kidunda wakiwa katika mnuso wa harusi yao uliofanyika karibuni katika ukumbi wa blue pearl ya ubungo plaza dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongereeni sana Maharusi,mkajenge familia.Nina experience ya miaka 7 kwenye ndoa,tena hizi za makanisani.Dada "Conso" inabidi uwe na uvumilivu kwa mume wako kurudi usiku,usiwaze kwamba sijui alikuwa wapi...!Suala la kurudi usiku kwa wanaume linaleta vurugu sana majumbani(Usiku nina maana kabla ya saa sita usiku!).wanaume tunakuwa "tunaongea" mara nyingi huko bar,restaurants.Naishia hapo najua 'wadada' na 'wamama'hamtapendezwa na comment yangu hii.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana maharusi mmependeza ile mabaya nawafagilia wawaaaa..........Matron nimekukubali siyo Kanaeli wa MOI Muhimbili kweli? All the best guys

    ReplyDelete
  3. matron nimependa mshono naweza pata namba ya fundi aliekushonea na jina lake...pia nimependa ukumbi ulivyopambwa naweza pata namba ya mpambaji please coz nina mpango wa kufunga ndoa july na bado sijapata vitu vyote ivo....yaani kwa ujumla harusi imependeza kinomaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Body language hapo inasemaje?

    ReplyDelete
  5. Mdau #4...umenigusa...jamani wanaume wa kitanzania learn kuonyesha affections in public...yaani utasema hawajuani mpaka inaboa....0 chemistry
    mkuu wa wilaya ya nanihii usinibanie

    ReplyDelete
  6. Nahisi wewe David ni msomi wa kitabu tu, tena you've probably travelled and seen alot in this world. Lakini despite kutembea kwako kote bado unanangania your backward culture were women stay at home, cook, clean and wait for your backward (tz plate number) to get back home at 12:00 am.

    ReplyDelete
  7. mdau uliependa mshono wa matron mi sijui kashona wapi lakini kuna dada anaitwa jesca yupo maeneo ya haidery plaza jirani na metro fashions anashona nguo bomba sana zaidi ya hizo. no yake ni 071333179 bei zake kuanzia 65 elfu.

    ReplyDelete
  8. body language,,,
    weshazoeana ao ni km wanabariki tuu ndoa sema vijisent viliwawasha

    siku izi watu wanaishi kwanza weee later wafunga ndoa

    ReplyDelete
  9. annon #1
    ao wa aina iyo ni vikongwe now au weshakufa longiii.sahau

    SASA IVI HAWAKAO WANAWAKE WA AINA IYO NA VIZAZI VIJAVYO KUANZIA NOW

    kwa taarifa na kumbukumbu kwako.

    ni hayo tu.

    ReplyDelete
  10. annon #1

    ni mkeo tuu wa miaka iyo 7 ndo anaweza usi-generolaiz watu apa

    ivi ndo ina "experience?"kwamba mwezio ndo keshakuzoea na maloloso yako au? mbona ndoa zina miaka 20/35 watu wanaachana

    kaaazi kweli

    ReplyDelete
  11. Jamani milipendeza sana , keki yenu nzuri kweli naomab number ya aliye watengenezea hiyo keki jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...