Home
Unlabelled
mdau wa mtwara adaka zawadi ya tuzo pointi za vodacom
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dauh mkuu hongera sana,ila nipapenda kama ukimpa hiyo sim mdogo wako Elezian......nawakumbuka sana mzee...ni mimi erwin
ReplyDeleteELLY NDIO UMENENEPA HIVI?NAONA MAMBO SI MABAYA HAPO VODA,MIMI MDAU TULIKUWA WOTE PALE BUSH UNIVERSITY,KILA LA HERI.
ReplyDeletedah michuzi nafurahi pale ninapoziona picha za mtwara,huwa mara mojamoja sana unaziwekaga,anyway,e bana jof nawamiss sana watu wangu....wape hi kina niko,francis na wengineo wote...tupo pamoja mkuu
ReplyDeleteKwa promosheni makampuni ya simu hamjambo lakini vipi katika masuala ya kushusha bei za huduma? Promosheni anafaidika mteja mmoja mmoja. Mkishusha bei za huduma tunafaidika wote.
ReplyDeleteElihuruma unajitahidi sana kuchapa kazi nakufagilia bigup! hivi umeshaoa?
ReplyDelete