Mtaaluma wa huduma na bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Elihuruma Ngowi(kulia)akimkabidhi simu mshindi wa Tuzo pointi Geoffrey Mganda wa Mtwara (kushoto)Idd Nassoro Afisa mauzo wa Vodacom Mtwara akishuhudia makabidhiano hayo leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. dauh mkuu hongera sana,ila nipapenda kama ukimpa hiyo sim mdogo wako Elezian......nawakumbuka sana mzee...ni mimi erwin

    ReplyDelete
  2. ELLY NDIO UMENENEPA HIVI?NAONA MAMBO SI MABAYA HAPO VODA,MIMI MDAU TULIKUWA WOTE PALE BUSH UNIVERSITY,KILA LA HERI.

    ReplyDelete
  3. dah michuzi nafurahi pale ninapoziona picha za mtwara,huwa mara mojamoja sana unaziwekaga,anyway,e bana jof nawamiss sana watu wangu....wape hi kina niko,francis na wengineo wote...tupo pamoja mkuu

    ReplyDelete
  4. Kwa promosheni makampuni ya simu hamjambo lakini vipi katika masuala ya kushusha bei za huduma? Promosheni anafaidika mteja mmoja mmoja. Mkishusha bei za huduma tunafaidika wote.

    ReplyDelete
  5. Elihuruma unajitahidi sana kuchapa kazi nakufagilia bigup! hivi umeshaoa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...