miss valentine akila pozi baada ya ushindi
mr & miss valentine 2009
washindi wakitangazwa
MAJAJI KATIKA PICHA YA PAMOJA, KATIKATI NI NDUGU ALLAN BENDERA ALIYEONGOZA JOPO LA MAJAJI,PEMBENI NI MISS SOPHIA ALIYEALIKWA KUTOKA TANZANIA,NA MR HENRY KUTOKA LAGOS NIGERIA.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Huyu mama ni bondia?

    ReplyDelete
  2. niseme nini? sina la kusema mwanangu! sitaki kuitwa muosha kinywa lakini....?

    ReplyDelete
  3. Wapi Chibiriti?

    ReplyDelete
  4. hehehee...vigezo vilikuwa nin jamani??

    ReplyDelete
  5. Hehehe Anon wa kwanza naona umeogopa mkono wa shoka huo umetoka baruit umebaki uchochoroni unachungulia alafu unauliza huyu mama ni Bondia mbona umekimbia lete mcheso akikuchapa kofi moja tu mpaka chini hapa mtu ndo katoka Gym usipime babake unaleta mchezo na chuma cha zege makopo mawili ya sadolini na Bomba la maji hahah kazi ipo wana blog na wewe husemi kisa osha kinywa tu anon 2

    ReplyDelete
  6. allan Bendera! siku nyingi sijamuona huyu kaka kumbe yupo italy! duh tangu enzi za ubungo magorofani, long time my bro,

    ReplyDelete
  7. natamani niwatie viboko wote hawa,picha za simu ya mkononi sasa inamaana gani kukaa Ulaya hata camera nzuri hamuwezi kununua?Miss mwenyewe wala haliki hata labda kwa ndimu na kachumbali juu yake.

    ReplyDelete
  8. Hivi chibiriti uko wapi jamani? Tangu uonekane na yule mama wa kiitaliano mpka sasa haujaonekana tena! Uko Italia ya wapi? Termine, Republica, anagnina, cinecità, Venezia, au wapi! Mimi nipo mda wote pale karibu na Kanisa la Santa Maria magiore! tutafutane!

    ReplyDelete
  9. Hivi chibiriti uko wapi jamani? Tangu uonekane na yule mama wa kiitaliano mpka sasa haujaonekana tena! Uko Italia ya wapi? Termine, Republica, anagnina, cinecità, Venezia, au wapi! Mimi nipo mda wote pale karibu na Kanisa la Santa Maria magiore! tutafutane!

    ReplyDelete
  10. jamani tuonyesheni wapi mnasoma na sio mamabo ya Valentine. watu wazima Napoli - Italy hovyoooooooooo!!

    ReplyDelete
  11. hili lazima lilikuwa bonge la party au sio wenzetu mliopo nje? maana inaonyesha namna ukumbi ulivyofura na hata kuweza kumvisha taji huyu bibiye ni lazima kulikuwepo na mabinti wangapi vile?

    ReplyDelete
  12. wewe mtowa maoni wa february 17, 2009 2:52 am pole sana, unadhani kila alie nje ya tanzania yuko nje kimasomo? grow up.

    by the way kama hao ndio mr and mrs valentine basi mwakani namleta bibi yangu kushindana!!!!

    ReplyDelete
  13. sijaona kabisaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  14. miss valentine hahahahah...oi....jamani mwenzenu siwezi kucheka kichwa chaniuma. i guess kigezo kilikuwa kuvaa nguo nyekundu na viatu vyeusi...kwikwikwi...

    ReplyDelete
  15. AaaaH Sophie, wadau wanakumiso huku, umewaacha kimya kimya wana CC.Kaazi kweli kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...