Home
Unlabelled
miss valentine 2009 wa napoli, italy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mama ni bondia?
ReplyDeleteniseme nini? sina la kusema mwanangu! sitaki kuitwa muosha kinywa lakini....?
ReplyDeleteWapi Chibiriti?
ReplyDeletehehehee...vigezo vilikuwa nin jamani??
ReplyDeleteHehehe Anon wa kwanza naona umeogopa mkono wa shoka huo umetoka baruit umebaki uchochoroni unachungulia alafu unauliza huyu mama ni Bondia mbona umekimbia lete mcheso akikuchapa kofi moja tu mpaka chini hapa mtu ndo katoka Gym usipime babake unaleta mchezo na chuma cha zege makopo mawili ya sadolini na Bomba la maji hahah kazi ipo wana blog na wewe husemi kisa osha kinywa tu anon 2
ReplyDeleteallan Bendera! siku nyingi sijamuona huyu kaka kumbe yupo italy! duh tangu enzi za ubungo magorofani, long time my bro,
ReplyDeletenatamani niwatie viboko wote hawa,picha za simu ya mkononi sasa inamaana gani kukaa Ulaya hata camera nzuri hamuwezi kununua?Miss mwenyewe wala haliki hata labda kwa ndimu na kachumbali juu yake.
ReplyDeleteHivi chibiriti uko wapi jamani? Tangu uonekane na yule mama wa kiitaliano mpka sasa haujaonekana tena! Uko Italia ya wapi? Termine, Republica, anagnina, cinecità, Venezia, au wapi! Mimi nipo mda wote pale karibu na Kanisa la Santa Maria magiore! tutafutane!
ReplyDeleteHivi chibiriti uko wapi jamani? Tangu uonekane na yule mama wa kiitaliano mpka sasa haujaonekana tena! Uko Italia ya wapi? Termine, Republica, anagnina, cinecità, Venezia, au wapi! Mimi nipo mda wote pale karibu na Kanisa la Santa Maria magiore! tutafutane!
ReplyDeletejamani tuonyesheni wapi mnasoma na sio mamabo ya Valentine. watu wazima Napoli - Italy hovyoooooooooo!!
ReplyDeletehili lazima lilikuwa bonge la party au sio wenzetu mliopo nje? maana inaonyesha namna ukumbi ulivyofura na hata kuweza kumvisha taji huyu bibiye ni lazima kulikuwepo na mabinti wangapi vile?
ReplyDeletewewe mtowa maoni wa february 17, 2009 2:52 am pole sana, unadhani kila alie nje ya tanzania yuko nje kimasomo? grow up.
ReplyDeleteby the way kama hao ndio mr and mrs valentine basi mwakani namleta bibi yangu kushindana!!!!
sijaona kabisaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletemiss valentine hahahahah...oi....jamani mwenzenu siwezi kucheka kichwa chaniuma. i guess kigezo kilikuwa kuvaa nguo nyekundu na viatu vyeusi...kwikwikwi...
ReplyDeleteAaaaH Sophie, wadau wanakumiso huku, umewaacha kimya kimya wana CC.Kaazi kweli kweli
ReplyDelete