Hii ilikutwa tu mahala!!
Na kwa taarifa tu, pindi hiyo mgao wa umeme huko ni mara moja kwa wiki mbili. Patamu hapoo...Mie simooo!!
Mdau Mwisho wa Reli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. is this for real? serious???

    ReplyDelete
  2. duuh inamana mafisadi washawalipia sio sokoni au hili tangazo mambo ya "photoshop" ha ha ha ha ha.
    kidumu chama cha mafisadi.

    ReplyDelete
  3. AKAFU MNASEMA WATANZANIA SISI SIO WABAGUZI.HUU NI NINI SASA? TANZANIA KUNA UTUMWA NA UGABUZI.

    ReplyDelete
  4. Sasa jamani CCM nyie mnaongoza nchi au mnaongoza wana CCM? Kama sio ubaguzi ni nini? chama chenu kama kingekuwa kizuri basi watu wangejiunga nacho!
    Acheni ubaguzi kwani, jukumu la kuongoza na kuwasaidia wote ni lenu. na kama hamtalitekeleza, huo ni mwanzo tu, kuna siku tutawanyang'anya. kwani cheo ni cha muda na ni dhamana!

    ReplyDelete
  5. Duh hii kali, inaonesha jinsi CCM walivyopania kumtoa Zitto hata kwa mchezo mchafu. Lakini Kigoma nawaaminia maana jamaa wamekopi msimamo toka kwa Kagame!

    ReplyDelete
  6. Du i miss this village life hapa ukiwa na baiskeli yako dudu proof radio na wake watatu mtu ndo wenye aaah sooon itabidi nirudishe majeshi Bongo manake hapa huna hata habari za ulimwengu wa ukame wa pesa hapa unapeta tu babake

    ReplyDelete
  7. Hicho ni kijiwe cha CHADEMA na sera zao za kuchafuana

    ReplyDelete
  8. chadema hao akuna ccm anayesubutu kuandika hapo kwanza ilo eneo ni chadema watupu ndio kwetu hapo mwisho wa reli

    ReplyDelete
  9. Kama upinzani ndo wanafanya hivyo, ina maaana mtu akiingia sokoni wao wana jaza kwenye 'excel spreadsheet' kwamba CCM wana wanachama kadhaa alafu wana-counter attack..

    Wabongo, mnakuja kasi.. huyo mshkaji alikuja na hiyo strategy ni kichwa (ana akili nyingi).

    Imetulia, yaani unawahesabu watu bila wao kujua!? powa basi..

    = = =
    Buffalo,
    New York (kule ndege ilipoangukaga ivi majuzi)

    ReplyDelete
  10. wadau huko kigoma ccm imepatenga kabisa ,ukifika waweza lia. umeme wanapata mara moja kwa wiki, maji mara mbili, barabara zote ni mashimo, huko mtaani hapapitiki. hakuna huduma kabisa,lakini ndo strategic point za nchi kijiografia.
    inasikitisha sana ukifika kigoma.
    mungu awasaidie tu wananchi hao wasio ana mtetezi.

    ReplyDelete
  11. Naona CCM wanataka kujitahidi ila wapi Kigoma tumekakamaa kama Pemba nasafarihii haibi mtu kura hapa. andikeni mpaka kwa michuzi Chadema Oyeeeeeeeee mwakani Chadema wanachukuwa Bara huku na Kisiwani CUF. na wananchi tuwache mchezo wa kuwasubiria Serikali tumewasubiria Sana miaka 47 tunaumia.

    ReplyDelete
  12. EEEH Bwana ni kiboko ibihalagi bisumba inyama, Ndugu zangu msishangae sisi wahapa(Waha) tumeisha lishwa sumu ndo maana hata mkoa wetu umesahaulika kama uko Tanzania,sisi nijimbo la Burundi na Kata ya Rwanda kijiji cha congo.Tangu tumepata uhuru viongozi wetu huja kuomba kura tuu.
    Hatujui umeme unafananaje,ndege ikitua huwa tunakimbia tukizani ni kombora linaanguka,mpaka tuone imetulia na kisha watu wanashuka ndo tunaanza kwenda kushangaa,Gari ni la mkuu wa mkoa na polisi tu sisi usafiri wetu ni gari cuma barbara chuma hadi ndani ya vijiji.
    Kiongozi pekee anayejukukana huku kwetu ni Kalimanzira, ambaye ni mkuu wa kaya ya kina GWAJEKALE.
    Usani tunaoupata huku kwetu hata wanyama wa Ngorongoro hawaupati maana kuna watu wanaowajali.LABDA SIKU MOJA TUTAKUWA HURU KAMA NCHI BADALA YA KUWA MKOA.MUNGU AMETUSAIDIA HATULII NJAA KAMA MIKOA MINGINE MAANA TUNA ARDHI SAFI NA MKOA WETU NI VERY POTENTIAL LAKINI KWA VILE HAKUNA ANAYETUJALI MUNGU AMETUJALI HAKUNA SIKU UMESIKIA KILIO CHA NJAA.TUNAWASHUKURU WABUNGE WETU MABUBU UKIONDOA ZITTO WENGINE BUNGENI HUWA WANAOTA NDOTO KATIKA USUNGIZI MZITO WAKIINUKA NI PALE WANAPOSIA WENZAO WAKISHANGILIA HOJA NAO HUANZA KUSHANGILIA KANA KWAMBA WAMESIKIA KILICHOZUNGUMZWA.
    LAKINI IKO SIKU.......SIKU INAKUJA...HII ITABAKIA HISTORIA.

    ReplyDelete
  13. JAMANI MI NIMEELEWA HILI TANGAZO VINGINE KABISA, LABDA NIWAPENI SENSI OF HYUMA YANGU.
    ALIYEANDIKA TANGAZO KAWAPIGA DONGO WANACHAMA WA CCM KWA KUWAAMBIA KAMA KADI ZAO ZA UANACHAMA WA CCM ZITAWALETEA UMEME NA MAHITAJIKUTOKA SOKONI WAZIDI KUWA WANACHAMA KAMA SI HIVYO BASI WAACHANE NACHO HICHO CHAMA ILI MABADILIKO YAKE...
    DUH HII KALI, UMEME SIKU MBILI KWA WIKI??? MAHARAGE SIJUI SH NGAPI HAPO.

    ReplyDelete
  14. Sasa tunaelekea pabaya mimi hapa naona hujuma zitaanza hapa nchini muda simrefu hiva wangeandika punguza kwenye bia,sigara, na wanawake ukienda kwenyedanguro untao kadi unapewa jicho kwa punguzo ndio wangeeleweka hapo mimi sioni kwani wanao nunua bidhaa na kuuuza nakuuza ni watubinafsi

    ReplyDelete
  15. CCM OYEEEE! CCM JUUU JUUU ZAIDI, KIDUMU CHAMA TAWALA!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...