Home
Unlabelled
Mjumbe hauwawii..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
is this for real? serious???
ReplyDeleteduuh inamana mafisadi washawalipia sio sokoni au hili tangazo mambo ya "photoshop" ha ha ha ha ha.
ReplyDeletekidumu chama cha mafisadi.
AKAFU MNASEMA WATANZANIA SISI SIO WABAGUZI.HUU NI NINI SASA? TANZANIA KUNA UTUMWA NA UGABUZI.
ReplyDeleteSasa jamani CCM nyie mnaongoza nchi au mnaongoza wana CCM? Kama sio ubaguzi ni nini? chama chenu kama kingekuwa kizuri basi watu wangejiunga nacho!
ReplyDeleteAcheni ubaguzi kwani, jukumu la kuongoza na kuwasaidia wote ni lenu. na kama hamtalitekeleza, huo ni mwanzo tu, kuna siku tutawanyang'anya. kwani cheo ni cha muda na ni dhamana!
Duh hii kali, inaonesha jinsi CCM walivyopania kumtoa Zitto hata kwa mchezo mchafu. Lakini Kigoma nawaaminia maana jamaa wamekopi msimamo toka kwa Kagame!
ReplyDeleteDu i miss this village life hapa ukiwa na baiskeli yako dudu proof radio na wake watatu mtu ndo wenye aaah sooon itabidi nirudishe majeshi Bongo manake hapa huna hata habari za ulimwengu wa ukame wa pesa hapa unapeta tu babake
ReplyDeleteHicho ni kijiwe cha CHADEMA na sera zao za kuchafuana
ReplyDeletechadema hao akuna ccm anayesubutu kuandika hapo kwanza ilo eneo ni chadema watupu ndio kwetu hapo mwisho wa reli
ReplyDeleteKama upinzani ndo wanafanya hivyo, ina maaana mtu akiingia sokoni wao wana jaza kwenye 'excel spreadsheet' kwamba CCM wana wanachama kadhaa alafu wana-counter attack..
ReplyDeleteWabongo, mnakuja kasi.. huyo mshkaji alikuja na hiyo strategy ni kichwa (ana akili nyingi).
Imetulia, yaani unawahesabu watu bila wao kujua!? powa basi..
= = =
Buffalo,
New York (kule ndege ilipoangukaga ivi majuzi)
wadau huko kigoma ccm imepatenga kabisa ,ukifika waweza lia. umeme wanapata mara moja kwa wiki, maji mara mbili, barabara zote ni mashimo, huko mtaani hapapitiki. hakuna huduma kabisa,lakini ndo strategic point za nchi kijiografia.
ReplyDeleteinasikitisha sana ukifika kigoma.
mungu awasaidie tu wananchi hao wasio ana mtetezi.
Naona CCM wanataka kujitahidi ila wapi Kigoma tumekakamaa kama Pemba nasafarihii haibi mtu kura hapa. andikeni mpaka kwa michuzi Chadema Oyeeeeeeeee mwakani Chadema wanachukuwa Bara huku na Kisiwani CUF. na wananchi tuwache mchezo wa kuwasubiria Serikali tumewasubiria Sana miaka 47 tunaumia.
ReplyDeletebribe
ReplyDeleteEEEH Bwana ni kiboko ibihalagi bisumba inyama, Ndugu zangu msishangae sisi wahapa(Waha) tumeisha lishwa sumu ndo maana hata mkoa wetu umesahaulika kama uko Tanzania,sisi nijimbo la Burundi na Kata ya Rwanda kijiji cha congo.Tangu tumepata uhuru viongozi wetu huja kuomba kura tuu.
ReplyDeleteHatujui umeme unafananaje,ndege ikitua huwa tunakimbia tukizani ni kombora linaanguka,mpaka tuone imetulia na kisha watu wanashuka ndo tunaanza kwenda kushangaa,Gari ni la mkuu wa mkoa na polisi tu sisi usafiri wetu ni gari cuma barbara chuma hadi ndani ya vijiji.
Kiongozi pekee anayejukukana huku kwetu ni Kalimanzira, ambaye ni mkuu wa kaya ya kina GWAJEKALE.
Usani tunaoupata huku kwetu hata wanyama wa Ngorongoro hawaupati maana kuna watu wanaowajali.LABDA SIKU MOJA TUTAKUWA HURU KAMA NCHI BADALA YA KUWA MKOA.MUNGU AMETUSAIDIA HATULII NJAA KAMA MIKOA MINGINE MAANA TUNA ARDHI SAFI NA MKOA WETU NI VERY POTENTIAL LAKINI KWA VILE HAKUNA ANAYETUJALI MUNGU AMETUJALI HAKUNA SIKU UMESIKIA KILIO CHA NJAA.TUNAWASHUKURU WABUNGE WETU MABUBU UKIONDOA ZITTO WENGINE BUNGENI HUWA WANAOTA NDOTO KATIKA USUNGIZI MZITO WAKIINUKA NI PALE WANAPOSIA WENZAO WAKISHANGILIA HOJA NAO HUANZA KUSHANGILIA KANA KWAMBA WAMESIKIA KILICHOZUNGUMZWA.
LAKINI IKO SIKU.......SIKU INAKUJA...HII ITABAKIA HISTORIA.
JAMANI MI NIMEELEWA HILI TANGAZO VINGINE KABISA, LABDA NIWAPENI SENSI OF HYUMA YANGU.
ReplyDeleteALIYEANDIKA TANGAZO KAWAPIGA DONGO WANACHAMA WA CCM KWA KUWAAMBIA KAMA KADI ZAO ZA UANACHAMA WA CCM ZITAWALETEA UMEME NA MAHITAJIKUTOKA SOKONI WAZIDI KUWA WANACHAMA KAMA SI HIVYO BASI WAACHANE NACHO HICHO CHAMA ILI MABADILIKO YAKE...
DUH HII KALI, UMEME SIKU MBILI KWA WIKI??? MAHARAGE SIJUI SH NGAPI HAPO.
Sasa tunaelekea pabaya mimi hapa naona hujuma zitaanza hapa nchini muda simrefu hiva wangeandika punguza kwenye bia,sigara, na wanawake ukienda kwenyedanguro untao kadi unapewa jicho kwa punguzo ndio wangeeleweka hapo mimi sioni kwani wanao nunua bidhaa na kuuuza nakuuza ni watubinafsi
ReplyDeleteCCM OYEEEE! CCM JUUU JUUU ZAIDI, KIDUMU CHAMA TAWALA!!!!!!!!!!!
ReplyDelete