papaa muddy pizzaro (shoto) akiwa kwenye kiti chake cha enzi akiongoza stori wakati wa mkesha wa valentine usiku wa kuamkia leo katika kiota cha break point kijitonyama
mzee mzima kikumbi mwanza mpango a.k.a king kikii kama ilivyo kawaida yake kwa kila siku za ijumaa, mkesha wa valentine ameutumia vyema kwa burudani safi pale safari carnivore karibu na daraja la mlalakuwa briji akiwa na bendi yake ya les capital 'wazee sugu'. leo watacheza sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa la prima barabara ya bagamoyo rodi, maeneo ya victoria ambayo imekarabatiwa upya.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Haya mambo ya VALENTINE bado sana kwa Watanzania.

    Kama kweli kweli Walimu wa KATERERO eti wanakubali kabisa kulala chini na KUCHARAZWA VIBOKO ???

    Safari bado ni ndefu kuamka katika USINGIZI PONO wa SIASA ZA UJAMAA.

    Yaani huu ni UMBUMBUMBU wa kifikra na UNYONGE wa mawazo.

    Tulio nje tujitahidi kuamsha wenzetu bila kujali MSEMO wa "alalaye usimuamshe"

    ReplyDelete
  2. Mkuu MPYA wa Wilaya ya KATERERO

    Mh.Muhidin Issa Misupu akipanga

    mkikakati na baadhi ya wazalendo

    walioungana naye KUMPONGEZA kwa

    uteuzi aliopewa na Raisi Kikwetu

    kushika nafasi ya Albert Mnali

    aliyefukuzwa kazi kwa Ubabe na

    Mabavu aliyotumia kupandisha

    kiwango cha Elimu Bukoba.

    HONGERA SANA MCHUZI.

    ReplyDelete
  3. sasa wanakesha wenyewe? wawapendao wako wapi au wamewaacha na nani? mhhhhhh kweli ukiibiwa utalalamika?

    wewe unakesha hapo wenzako wanajishindia

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii ni GAY bar (Brighton) nini ?
    Mbona usiku wa wapendanao mmejaa wanaume watupu ? Ama kaka kuna siri unataka kutuambia ?
    Mdau Kaima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...