

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya mambo ya VALENTINE bado sana kwa Watanzania.
ReplyDeleteKama kweli kweli Walimu wa KATERERO eti wanakubali kabisa kulala chini na KUCHARAZWA VIBOKO ???
Safari bado ni ndefu kuamka katika USINGIZI PONO wa SIASA ZA UJAMAA.
Yaani huu ni UMBUMBUMBU wa kifikra na UNYONGE wa mawazo.
Tulio nje tujitahidi kuamsha wenzetu bila kujali MSEMO wa "alalaye usimuamshe"
Mkuu MPYA wa Wilaya ya KATERERO
ReplyDeleteMh.Muhidin Issa Misupu akipanga
mkikakati na baadhi ya wazalendo
walioungana naye KUMPONGEZA kwa
uteuzi aliopewa na Raisi Kikwetu
kushika nafasi ya Albert Mnali
aliyefukuzwa kazi kwa Ubabe na
Mabavu aliyotumia kupandisha
kiwango cha Elimu Bukoba.
HONGERA SANA MCHUZI.
sasa wanakesha wenyewe? wawapendao wako wapi au wamewaacha na nani? mhhhhhh kweli ukiibiwa utalalamika?
ReplyDeletewewe unakesha hapo wenzako wanajishindia
Michuzi hii ni GAY bar (Brighton) nini ?
ReplyDeleteMbona usiku wa wapendanao mmejaa wanaume watupu ? Ama kaka kuna siri unataka kutuambia ?
Mdau Kaima