timu ya prisons ya bongo kabla ya mchezo wao na kharf sert ya libya wa mguu wa kwanza wa kombe la shirikisho barani africa (CAF) neshno ya kale muda huu. mchezo una umri wa dakika tano na tayari wageni wanaongoza kwa bao 1-0 lililfungwa dakika ya tatu baada ya kipa wa prisons kuchemsha
kikosi cha timu ya kharf sert ya libya


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...