JK akimlaki Rais wa China Mh. Hu Jintao usku wa kuamkia leo mgeni huyo alipoutua Dar
Jk na mgeni wake wakiangalia ngoma zilizoandaliwa kwa heshima ya ujio wa Rais Hu Jintao wa China


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Uzinduzi wa uwanja wa National stadium wa Taifa si ni leo pia yaani ile kimya kimya!Hatujaona cha Riali Madirid wala nini yani ile changa la machoz live!
    Niho Yiinn-ta-ho!
    Niho Michuzi!

    ReplyDelete
  2. Hapo JK umecheza. China ndiko kwenyewe. China imetusaidia sana katika mengi, naamini pia watatusaidia zaidi. Kubwa ni kujipanga vizuri na kuona nini au lipi au kipi watusadie.

    ReplyDelete
  3. KAKA MICHUZI NIMEINGIA GPUBLISHER LEO HII NIMEKUTA PICHA ZA AJALI KATI YA KUSIKITISHA SANAA,NAKUMBUKA ULIWEKA PICHA ZA GARI TAKA AMBALO HALINA HATA TAA WALA BREAK SIKU ZA NYUMA NA KUULIZA KUWA WATU WA USALAMA BARABARANI WAPO WAPI???SASA HATA MDA HAUJAPITA HAPO MAGOMENI LIMEUWA MAMA NA MTOTO WAKE HAPOHAPO,MIMI NIPO NJE YA NCH LAKINI AJALI HIYO IMENIUMA SANAAA NDUGU YANGU,EMBU KAMA UNAWEZA UOMBE PICHA KWA GLOBAL PUBLISHER UWAELEZE WANA JAMII WENZETU YANAYOTOKEA,MANAKE ULISHA TOA ONYO NA YAMETOKEA SIKU SI NYINGI,NAKUOMBA WAONYESHE KAKA,INAUMA SANAAA!
    GARI LA TAKA HALIKUWA NA BREAK NA KULIVAMIA KI BAGAGI NA KUUWA HAPOHAPO!!!!!DAAAAA!

    ReplyDelete
  4. Naskia shamba la bibi umepoteza jina lake umepewa uhuru stadium, safi sana tumepata ground jipya la ukweli tatizo wabongo kwa kugeuza ndivyo sivyo tunaweza sana... Yaani sinki la kunawia tunageuza choo eti unakuta jibaba limefungua zipu linaproject kwenye sinki eti kisa liwahi kurudi jukwaani foleni ya chooni ikiwa ndefu.pumbafu !

    ReplyDelete
  5. ANONY WA PILI UNAPENDA SANA MISAADA UTAHARIBIWA WE HAYA WEE..!HIVI KULIKUWA NA MGAO WA UMEME NINI MBONA GIZA HAPO MAHALI?!

    ReplyDelete
  6. haya wachina wazidi kujenga stadiums afrika na kutupa vijisenti halafu tushangilie kuwa tumepewa pesa nyingi tuone tutafika wapi na misaada kama hii. wachina watazidi kutajirika kutoka afrika kwasababu ya ujinga wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...