KILA LA HERI TAIFA STARS LEO DHIDI YA ZAMBIA HUKO IVORY COAST

MAMBO YAKIENDA SAWA UNAWEZA KULIONA GEMU HILI KUPITIA
http://www.tvchannelsfree.com/watch/6241/RTS1-senegal.html
kwa maelezo zaidi ya michuano hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mhh sidhani kama wataonyesha mechi yetu,waache kuonyesha ya timu yao,senegal.tusubiri tuone maana zote zachezwa muda sawa.

    ReplyDelete
  2. Tukifungwa wakina Mziray na Sapi tutawakoma ila poa tu. Maximo oyeee

    ReplyDelete
  3. saa ngapi???weye unatupa website tuu !!!wengine tupo huku west coast-ughaibuni.time plzzzz.

    ReplyDelete
  4. Kaka Mithupu,gemu hizi mbili leo zinachezwa wakati mmoja,hivyo basi inaniwia vigumu kuamini kama wasenegali wataacha kuonyesha gemu yao ,ili tu waonyeshe ya kwetu,ila we keep our fingres crossed an hope wataonyesha au hata kutupa matokea kila wakat.
    Asante kwa habari ,bro!!

    ReplyDelete
  5. Misupu wape watu hii link myafricanfootball.com wanatakiwa kuregister kwa sasa hivi ni bure mpaka 3rd march. Na hata mechi zilizopita wanazo unaweza kuziangalia dk zote 90.Mimi niko Uk huwa naangalia mechi za africa kupitia huko.

    ReplyDelete
  6. Hello all Tanzanians: We should really pray for our National Soccer Team so that we win with countless goals and cruise through to the quarter fines. Yes We Can! Tunawaomba Taifa Stars watupe Raha, hapa mgodini tupo na wa Tanzania wote hapa nchini na duniani kote kuishabikia timu yetu ya Tanzania.
    kasengo@hotmail.com

    Alex Mawazo Kasengo,
    Mine Safety & Training Officer,
    Barrick Tulawaka Gold Mine,
    Kagera

    ReplyDelete
  7. myp2p.eu then nenda live sports mpira Saa 17.00 za UK Saa Moja Usiku za Tanzania sema wanaonesha Ivory Coast Vs Senegal. Sasa sijui ya Tanzania tutapata wapi?.

    ReplyDelete
  8. ile myafricanfootball.com kweli au ndio Scam Web tusije kuzikana.

    ReplyDelete
  9. myafricanfootball.com inaonyesha kweli na kwa sasa ni bure mpaka Machi 3. Maswali ya lazima ya kujibu ni ya e-mail yako na jina. Sio lazima uwaambie kama umeoa, kipato nk.

    ReplyDelete
  10. Michu,
    ETI Zambia na Tanzania matokeo ni
    1-1?Wazambia wamesazisha dakika ya 90 baada ya kufungwa kwa penalti dakika ya 88. Naomba tuthibitishie habari hizo.Mdau UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...