uwanja wa felix houphet boigny unavyoonekana hivi sasa wakati wa hili gemu


MCHEZAJI MRISHO NGASA AMEPATA BAO TAMU LA KICHWA DAKIKA YA 38 NA HIVI SASA TAIFA STARS 1 NA IVORY COAST 0.


DAKIKA NI YA 43 SASA AMBAZO ZIMEKATIKA NA VIJANA WETU WANATESA ILE MBAYA!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nani alisema sisi kichwa cha mwendawazimu? Hongera vijana mnanikumbusha Kakakuona japo kido wanilize pale uwanja wa Kirumba mwaka 1992/3 walipotolewa fainali. Zamani hata mafisadi wengi walikuwa bado vijana hawajatoka matumbo wala vipara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...