TAIFA STARS INACHEZA NA WENYEJI WA MICHUANO YA CHAN IVORY COAST KATIKA WANJA LA FELIX HOUPEHT BOIGNY JIJINI ABIDJAN WAKATI HUU, NA GEMU LIMEANZA KIASI CHA NUSU SAA ILIYOPITA NA MAGOLI BADO NI 0-0
WANAOPENDA KUANGALIA GEMU LIVE ON LINE WABOFYE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mbona hakuna mechi yoyote katika link hiyo jamani...inaonesha sijui ni muvi kwa kifaransa...au inakuaje??Tupeni links jamani

    MDAU USA

    ReplyDelete
  2. hakuna mechi hapo wewe Michuzi...angalia nawe then utupe jibu...weka web za ukweli kaka

    ReplyDelete
  3. tumeisha wapiga moja

    ReplyDelete
  4. tumiesha wapiga moja, ni half time for now

    ReplyDelete
  5. Safi sana! sasa vijana wasipunguze kushambulia. Wanatakiwa wazidi kuwashambulia zaidi ili jamaa wajihami maaana inaonekana jamaa wakija eneo letu ni wazuri zaidi katika mipira ya juu. Hongera Ngassa ulaji unanukia mwanangu.

    ReplyDelete
  6. man hii link mliyotuandikia ya kuangalia mpira live haioneshi mpiura alafu masela tunataka tuiangalie timu yetu ya taifa inavyofanya mambo,kama mmeikosea naomba mtuwekee fresh ili tuangalie hiki kipindi cha pili,link mliyotuwekea wanaonesha movie http://www.tv-direct.fr/live_lc2.php

    ReplyDelete
  7. Tunashukuru kwa hii link maana leo RST 1 inakatika sana.

    ReplyDelete
  8. hata kama huweki updates ila tunaongoza hadi half time

    ReplyDelete
  9. hata kama huweki updates ila tunaongoza hadi half time

    ReplyDelete
  10. hata kama huweki updates ila tunaongoza hadi half time

    ReplyDelete
  11. michuzi nadhani hii link umechelewa kuiweka manake naona mayenu tu kwenye hiyo link hakuna mpira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...