

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kila lakheri huko Zenji Mkuu.
ReplyDeleteKaka mbona wachanganya habari..? Wewe balozi wa nani hii..afu watumia mtandao wa nana hii...
ReplyDeleteMr Michuzi,ni matumaini yangu kuwa umzima wa afya njema, ukiendelea kuchapa mzigo kama kawaida.
ReplyDeleteSwali langu ni moja tu kwako. Nisamehe kama nimeingilia maswala yako binafsi na uhuru wako. Ni kwamba hii t-shirt yako umeichanjia nini? mbona haibanduki mwilini mwako!
Kaka Michu mambo yako makubwa!! Si mchezo!!Nikija bongo lazima tuonane!
ReplyDeletehembu we mithupu acha ushamba wako bana,yaani umeamua kutafuta pozi,ni pale tu kwa juu kuna bango la FIRST CLASS PASSENGER? Watu wa namna hii ukute mnajazana CHOKA MBAYA CLASS ile ya KAJAMBA NANI,mkipata ruhusa ya kuingia class za juu basi ni kupiga masnep ili tukuone matawi, acha zako misupu.........najua utaibania ila iz delivered
ReplyDeletemuheshimiwa sana balozi na mkuu wa wilaya!niomeona hapo umepakata kinakilishi mapajani bila kutanguliza kitu chini,(kama cover)naskia hiyo huwa inamadhara hususan kwa afya ya nanihii!hivyo wakati mwingine jitahidi kutanguliza kitu chini kwanza,(mtazamo tu)
ReplyDeleteDuuuuu Hio First Class Hivo Je Huko kwa kina Ankal Vip???? hahahaha
ReplyDeleteMichuzi Kafikiria Maana ya Fist Class PAssengers. ni wa kwanza Darasani kaamuwa kukaa nje ya sehemu iliyoandikwa kwa nje hehehe teh teh teh! michuzi inaonesha hujalipia hapo umeibia Siti ya ngazi na loptop unaibia wireless ya Azam.
ReplyDelete1st class passenger kwa nje sio?
ReplyDeleteIngia ndani basi kama una jeuri hiyo!
---
(Just kidding... najua uko juu)
afu iyo naniino itakufa soon mana ujazuia na cover apo karibu na naniino!!shauri lako
ReplyDeleteafu uyo bob sankofa sijui,mboni kama namfahamu?hajasoma kweli UDSM?
sii mchezo km ni yeye kawa rastafali kikweli?
ze fulanazzzz oyeee,ole wako michu uibadili!!
Michuzi mimi naomba kujua hiyo lens yako ina uvuto wakiasi gani ? na bei yake .. asante
ReplyDelete