niko na othman maulid mpiga picha mkuu wa zanzibar leo
mambo ya sauti za busara na mdau wa baga,oyo ambaye kahamia zenji
bob sankofa mkuu wa fotobaraza naye yupo

valentine na sauti za busara....
niko na wadau wakuu wa harakati wa WAPI hapa zenji ambao wanafanikisha sauti za busara
unapokuwa na mdandao wa vodacom libeneke ni popote pale. hapa niko njiani kuvuka bahari kuelekea zenji kwa kajivekesheni ka muda

mambo haya sasa yamehamia mbele ya hoteli ya africa house kwa vile kule forodhani ukarabati unaendelea







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kila lakheri huko Zenji Mkuu.

    ReplyDelete
  2. Kaka mbona wachanganya habari..? Wewe balozi wa nani hii..afu watumia mtandao wa nana hii...

    ReplyDelete
  3. Mr Michuzi,ni matumaini yangu kuwa umzima wa afya njema, ukiendelea kuchapa mzigo kama kawaida.

    Swali langu ni moja tu kwako. Nisamehe kama nimeingilia maswala yako binafsi na uhuru wako. Ni kwamba hii t-shirt yako umeichanjia nini? mbona haibanduki mwilini mwako!

    ReplyDelete
  4. Kaka Michu mambo yako makubwa!! Si mchezo!!Nikija bongo lazima tuonane!

    ReplyDelete
  5. hembu we mithupu acha ushamba wako bana,yaani umeamua kutafuta pozi,ni pale tu kwa juu kuna bango la FIRST CLASS PASSENGER? Watu wa namna hii ukute mnajazana CHOKA MBAYA CLASS ile ya KAJAMBA NANI,mkipata ruhusa ya kuingia class za juu basi ni kupiga masnep ili tukuone matawi, acha zako misupu.........najua utaibania ila iz delivered

    ReplyDelete
  6. muheshimiwa sana balozi na mkuu wa wilaya!niomeona hapo umepakata kinakilishi mapajani bila kutanguliza kitu chini,(kama cover)naskia hiyo huwa inamadhara hususan kwa afya ya nanihii!hivyo wakati mwingine jitahidi kutanguliza kitu chini kwanza,(mtazamo tu)

    ReplyDelete
  7. Duuuuu Hio First Class Hivo Je Huko kwa kina Ankal Vip???? hahahaha

    ReplyDelete
  8. Michuzi Kafikiria Maana ya Fist Class PAssengers. ni wa kwanza Darasani kaamuwa kukaa nje ya sehemu iliyoandikwa kwa nje hehehe teh teh teh! michuzi inaonesha hujalipia hapo umeibia Siti ya ngazi na loptop unaibia wireless ya Azam.

    ReplyDelete
  9. 1st class passenger kwa nje sio?

    Ingia ndani basi kama una jeuri hiyo!









    ---
    (Just kidding... najua uko juu)

    ReplyDelete
  10. afu iyo naniino itakufa soon mana ujazuia na cover apo karibu na naniino!!shauri lako
    afu uyo bob sankofa sijui,mboni kama namfahamu?hajasoma kweli UDSM?
    sii mchezo km ni yeye kawa rastafali kikweli?

    ze fulanazzzz oyeee,ole wako michu uibadili!!

    ReplyDelete
  11. Michuzi mimi naomba kujua hiyo lens yako ina uvuto wakiasi gani ? na bei yake .. asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...