watau wa zante wanataka kunibadilishia ze fulanazzz kwa kunipa hii. wadau mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. hio nadhani itakufaa lkn wee muoga muoga japo najua hupendi ufisadi sema mafisadi wanakuungia ukikwama ndio maana unawagwaya kiaina,ila najua unapenda uwe upande wetu huku sio wao lkn ndio watoto nao tena wanahitaji kwenda chooni huna jinsi utafanyaje?wazungu wanasema JUST SAY YES TO PLEASE A FOOL.....

    ReplyDelete
  2. aaah acha kabisa hiyo!wizi mtupu hapo!

    ReplyDelete
  3. Chukua tu uvae ila soo lake hizo tisheti hutakiwi kufua, ukifua tu imekula kwako yani ile unakamua maji tu ukikunjua kama ni L inakua XXL!,ukivaa tena bega moja linakua nje!

    ReplyDelete
  4. SI LAZIMA TU DO,HABARI NDIO HIYO,BADO NIPONIPO, DILI KUSAKA MAHELA, na sasa WIZI MTUPU...bongo bwana kwa kuibiana tumezidi yaani wizi mtupu....

    ReplyDelete
  5. Shauri yako kaka Michu, Zain wakisikia unatesa na zantel, ubalozi huna

    ReplyDelete
  6. Hatutaki, tunataka furanazzzz yetu tuuu...!!!!

    ReplyDelete
  7. Kama watakulipa poa, la sivyo furanazzz tuliyo izoea tuuuu....!!!!

    ReplyDelete
  8. Hapana michu usivae wizi mtupu, mwezi ujao ntatua bongo toka ufini ninakuletea ze fulanaz nyingine please usibadilishe ntashindwa kukuletea zawadi toka ughaibuni. Tumezoea the fulanaz..

    ReplyDelete
  9. Wakupe ile ya Mchaga Mjanja sio wizi mtupu kwani wewe mwizi au umemuibia nani blog tuna angalia bure

    ReplyDelete
  10. waambie wakupe tishet yenye quality ya juu.....maana matishet yetu nayajua hayana hadhi usije ukaharibu jina lako bure.

    madau netherland

    ReplyDelete
  11. Je wote watakaovaa hizi t-shirt watakuwa wezi? Je Wachagga wote wajanja?

    ReplyDelete
  12. MICHUZI TUPINGE UKIVAA IYO NAKUPA $10 .SHARTI UKUTANE NA BOSS WAKO.

    ReplyDelete
  13. No, no, no, usikubali hiyo t-shirt. Wanataka kukutega hao. Usikubali kaka. Endelea na ze fulanazz yako.

    ReplyDelete
  14. sishauri kabisa! ukija Amjini tutakununulia tshirt
    sweet
    Arusha

    ReplyDelete
  15. We Chibiriti,jifunze kiswahili, furana ndio nini?wewe ni mkuria nini!!.

    ReplyDelete
  16. Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Nanihii, hiyo fulanazzz hatuitaki yaani haikufai hata kama kuna ze mpungaz! 'Anuani' yake haibariki usije ukaambukizwa bure katabia ka wizi wizi!! Halafu huwezi kujua kuna kawilaya kana hang hang hakana mtu, jamaa kapigwa chini kwa ubabe wake... sasa lapresidaa anaweza akaamua kukumuvuzishia huko kukupumzisha na vivakesheni kibao unavyokwendaga; ... hako ka -'chata' ka mgongoni ka hiyo fulanazzz si kazuri, hata kama hutapewa hako kadistrict infwakt kaujumbe kake hakajatulia, hakaswihi. - Ben

    ReplyDelete
  17. Duhh mzee mzima hiyo noma. Achana nao utapakaziwa bure.. manake hii nchi bwana Wizi mtupu.. laana ya mwalimu Nyerere

    ReplyDelete
  18. NOOOOOOOOOOOOOOOOO USIICHUKUE ATI KWA KUI-REPLACE ZE FULANAZZZ!!??
    hapana michu ile ze fulanazzz ni bomba sana na so unique mana unaivaa 24 hrs yan mwisho utashinda bingo la giness book siku
    achana na ilo fulana la ajabu eti wizi mtupu
    utatuudhi wee michu??

    ReplyDelete
  19. """"watau wa zante wanataka kunibadilishia ze fulanazzz kwa kunipa hii. wadau mnasemaje?"""""


    mimi sijaelewa ... watau wa zante ????? ni nini maana yake hapa.... acheni wizi

    ReplyDelete
  20. Haijatulia hiyo, nitajuletea iliyoandikwa 100% MSHAMBA nadhani itakuwa poa au vp?

    ReplyDelete
  21. Ze Fulanazzz iendelee kaka, achana na hayo maneno ya kupita yasije kukuletea balaa, tunakubali sana mchango wako(libeneke) katika hii blog, hatutaki kukukosa mdau wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...