Home
Unlabelled
wizi mtupu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hio nadhani itakufaa lkn wee muoga muoga japo najua hupendi ufisadi sema mafisadi wanakuungia ukikwama ndio maana unawagwaya kiaina,ila najua unapenda uwe upande wetu huku sio wao lkn ndio watoto nao tena wanahitaji kwenda chooni huna jinsi utafanyaje?wazungu wanasema JUST SAY YES TO PLEASE A FOOL.....
ReplyDeleteaaah acha kabisa hiyo!wizi mtupu hapo!
ReplyDeleteChukua tu uvae ila soo lake hizo tisheti hutakiwi kufua, ukifua tu imekula kwako yani ile unakamua maji tu ukikunjua kama ni L inakua XXL!,ukivaa tena bega moja linakua nje!
ReplyDeleteSI LAZIMA TU DO,HABARI NDIO HIYO,BADO NIPONIPO, DILI KUSAKA MAHELA, na sasa WIZI MTUPU...bongo bwana kwa kuibiana tumezidi yaani wizi mtupu....
ReplyDeleteShauri yako kaka Michu, Zain wakisikia unatesa na zantel, ubalozi huna
ReplyDeleteHatutaki, tunataka furanazzzz yetu tuuu...!!!!
ReplyDeleteKama watakulipa poa, la sivyo furanazzz tuliyo izoea tuuuu....!!!!
ReplyDeleteHapana michu usivae wizi mtupu, mwezi ujao ntatua bongo toka ufini ninakuletea ze fulanaz nyingine please usibadilishe ntashindwa kukuletea zawadi toka ughaibuni. Tumezoea the fulanaz..
ReplyDeleteWakupe ile ya Mchaga Mjanja sio wizi mtupu kwani wewe mwizi au umemuibia nani blog tuna angalia bure
ReplyDeletewaambie wakupe tishet yenye quality ya juu.....maana matishet yetu nayajua hayana hadhi usije ukaharibu jina lako bure.
ReplyDeletemadau netherland
Je wote watakaovaa hizi t-shirt watakuwa wezi? Je Wachagga wote wajanja?
ReplyDeleteMICHUZI TUPINGE UKIVAA IYO NAKUPA $10 .SHARTI UKUTANE NA BOSS WAKO.
ReplyDeleteNo, no, no, usikubali hiyo t-shirt. Wanataka kukutega hao. Usikubali kaka. Endelea na ze fulanazz yako.
ReplyDeletesishauri kabisa! ukija Amjini tutakununulia tshirt
ReplyDeletesweet
Arusha
We Chibiriti,jifunze kiswahili, furana ndio nini?wewe ni mkuria nini!!.
ReplyDeleteMheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Nanihii, hiyo fulanazzz hatuitaki yaani haikufai hata kama kuna ze mpungaz! 'Anuani' yake haibariki usije ukaambukizwa bure katabia ka wizi wizi!! Halafu huwezi kujua kuna kawilaya kana hang hang hakana mtu, jamaa kapigwa chini kwa ubabe wake... sasa lapresidaa anaweza akaamua kukumuvuzishia huko kukupumzisha na vivakesheni kibao unavyokwendaga; ... hako ka -'chata' ka mgongoni ka hiyo fulanazzz si kazuri, hata kama hutapewa hako kadistrict infwakt kaujumbe kake hakajatulia, hakaswihi. - Ben
ReplyDeleteDuhh mzee mzima hiyo noma. Achana nao utapakaziwa bure.. manake hii nchi bwana Wizi mtupu.. laana ya mwalimu Nyerere
ReplyDeleteNOOOOOOOOOOOOOOOOO USIICHUKUE ATI KWA KUI-REPLACE ZE FULANAZZZ!!??
ReplyDeletehapana michu ile ze fulanazzz ni bomba sana na so unique mana unaivaa 24 hrs yan mwisho utashinda bingo la giness book siku
achana na ilo fulana la ajabu eti wizi mtupu
utatuudhi wee michu??
""""watau wa zante wanataka kunibadilishia ze fulanazzz kwa kunipa hii. wadau mnasemaje?"""""
ReplyDeletemimi sijaelewa ... watau wa zante ????? ni nini maana yake hapa.... acheni wizi
Haijatulia hiyo, nitajuletea iliyoandikwa 100% MSHAMBA nadhani itakuwa poa au vp?
ReplyDeleteZe Fulanazzz iendelee kaka, achana na hayo maneno ya kupita yasije kukuletea balaa, tunakubali sana mchango wako(libeneke) katika hii blog, hatutaki kukukosa mdau wetu.
ReplyDelete