Meneja Mkuu wa Benki ya Exim, Dinesh Arora (kulia) akiwa na wafanyakazi wa benki hiyo, wakisikiliza Hotuba ya Mgeni rasmi Waziri mkuu Mizengo Pinda wakati wa tafrija fupi ya utoaji tuzo kwa mwajiri bora wa mwaka jijini Dar usiku wa kumakia leo ambapo viongozi wa benki kadhaa ]walihudhuria na kuzawadiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh, kweli duniani hamna mwembamba. Huyu dada (pink) si Lydia huyu? She was like a stick in our school days in that country. You remember Ben? Halafu Michuzi kwa nini Exim tu, hakukuwa na makampuni mengine kwenye hiyo hafla? Au ndio uandishi habari wa nisaidie nikusaidie? Walioshinda je wako wapi hapa (St Chrt, TCC etc)?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...