Askari wa jeshi la ananchi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mh. Faustine Rwilomba ambaye alikuwa mbunge wa Busanda ukitolewa kanisa la St Peter jijini Dar tyari kusafirishwa kwenda kwao Geita ambako anatarajiwa kuzikwa leo. Marehemu Rwilomba alifariki majuzi huko India alikokwenda kwa matibabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Eyeneyo nzila ya bose, tukukusanga duhu na bise.
    bangishage abatongela.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana Wana Ukoo wa KABUZI!Tuko nanyi katika pindi hiki chote cha majonzi makubwa!Alilopanga Mungu,hakuna Binadamu atakaye weza kulitengua!Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi,Amina!

    ReplyDelete
  3. Balozi Mithupu!
    Punguza usenene, nimekuomba utupe habari za Msiba wa Mzee Shaban Mloo muasisi wa CUF umebana. Haya sheikh mwenye nguvu muache apite.

    ReplyDelete
  4. Wadau naomba kuuliza jambo moja tu. Huyu bwana alikuwa mwanajeshi? inakuwaje jeneza lake libebwe na askari wa JWTZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...