Balozi wa zain na mkuu wa wilaya ya naniihii...
Wape wadau kwamba kama kuna mtu anamfuatilia Hasheem Thabeet, unaweza kuona live game za NCAA championship hapa www.ncaa.com au www.espn.com (chagua  colllege basketball). 
Kama Connecticut inacheza unaweza kumuona balozi wetu....
 
Mdau King.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wa kusifiwa sio Hasheem tu bali hata wafadhili wanaojali kuendeleza uwezo na vipaki vya watu. Wenzetu wanajali kundeleza vipaji na kuinvest kwenye vipaji. Hivyo ukimuona mtoto anacheza mpira wa makaratasi na bila viatu. Mchukue mnunulie njumu na jezi kisha mtafutie shule na soko katika nchi zinazojali vipaji after time t pesa yako itarudi.
    In developed countries like USA Sports is a big business, sports can be a good investment. In my school there people studying sports management and marketing,sports journalism,sports finance and investments,etc.
    Watu waliomsaidia kijana wetu wako patient sana,waliona abandoned talent wakaichukua na kuanza kuifanyia kazi. Sasa talent bado ni work in progress. Ikishakuwa well matured and developed ndio watapumzika. Yes Haseem is a hardwoker but people behind him work the hardest and deserve our recognition.
    In Bongo land we have sports and sportsmen/women but we don't have a strategy in developing our sportsmen/women in their sports. In Bongo We do more politics than sports because in politics the pay is better than in sports. We should learn from developed countries and make changes little by little. Rome was not built in one day.
    Keep up the great work while enjoying the NCAA and Huskies to the fullest.NBA should not be your main focus. NBA has its challenges don't think about the pay think about continuously improving your performance and the performance of your chosen team. I am your number one fan and hope you'll excel in the game.God is great.

    ReplyDelete
  2. kijana mtaalam hata haters wanakubali; wako kimya japo mwanzo walimzushia ovyo.

    ReplyDelete
  3. Wewe anonymous wa march 22 6:55 wewe ndio hater, watu kukosoa siyo kuhate. Wachezaji wenziye pamoja na kocha waanasema hakuwa na kitu, mchezaji mwenziye kasema ilikuwa hata kumpa mpira alikuwa anaona taabu sasa nao ni haters? ulitaka wamsifie tu iliasijifunze? Na haya mimi nakueleza kwani nimemuona kwenye TV cnn (HLN) akihojiwa na kocha na mchezaji mwenziye pia.
    Mwisho ampongeza hashim na namwombea mafanikio zaidi, asiridhike na sifa za watu kama wewe maana safari bado ndefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...