SG gestures after his hat trick

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/
football/eng_prem/7957890.stm

1712:GOAL Liverpool 4-0 Aston Villa

That is just genius, absolute world-class from the brilliant Steven Gerrard. He is frustrated because Ashley Young appears to be encroaching from the free-kick, but when Xabi Alonso does tap the ball to him, he just passes it from 22 yards into the bottom corner of Brad Friedel's net. Wonderful.
----------------------------------------------
1728: GOAL Liverpool 5-0 Aston Villa
Brad Guzan follows his countryman Brad Friedel in being sent the wrong way from the spot as
Steven Gerrard completes his hat-trick

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. KUULOPU BWANA? MBELEKO NYIIIINGI BABU BAGAMOYO NINI?DUHHH

    ReplyDelete
  2. najua wengi wataona kama Liverpool wameshinda kiubwete.but those 3 first half goals zilishawapagawisha vichwa vya Aston Villa.
    haswa wakijua kwamba UKUTA wa Liverpool kuruhu goli 3 ktk kipindi ya pili ni ngumu.at the same time still they have to defend.
    ilikuwa nice open game to both teams.
    natumaini wachezaji watarudi toka ktk international games bila injuries.


    "LFC 4 LIFE"

    ReplyDelete
  3. first half goals killed the game....

    ReplyDelete
  4. Liverpool wamerudi ktk nafasi ya pili ktk msimamo wa Barclays premier league ya England.

    Liverpool wamefika hapo baada ya kuichapa Aston Villa 5 mtungi na hivyo kufikisha pointi 64 ktk wanja la Anfield jijini Liverpool.

    Villa alitumia mfumo wa 4-4-2 ambao hawajauzoea sana, lakini kocha wao Martin O'Neil alikuwa na ndoto utaweza kuwasaidia kuizuia Liverpool Ushindi.

    Jana Fulham walitumia mfumo wa 4-4-2 kuwabana ManUtd na kuibuka na ushindi wa Fulham 2 ManUTD 0. Fulham waliwaweka washambuliaji wawili mbele kidogo ya nusu uwanja. Hivyo kuwapa kazi ngumu kuwapita wachezaji wawili wa mbele wa Fulham, na kukutana na midfiel 4 za Fulham na beki 4 za Fulham. Hii ndio ilipelekea kupoza kasi ya ManUTD, lakini leo staili ya 4-4-2 ya Aston Villa, haikuweza kuwazuia Liverpool kufanya 'mauwaji' siku hii ya 'Mother's Day'

    Liverpool pia inaongoza kwa kupachika magoli mengi zaidi ktk hii ligi ya England. Liverpool imeshatingisha nyavu mara 54, wakati timu za Chelsea na ManUTD wamepachika mabao 49.

    Mdau
    Jijini Liverpool

    ReplyDelete
  5. Michuzi nimekumind hujaweka matokeo ya Gooners ya jana..
    Mambo gani hayo?
    Mziki wa Liver unawapa watu kubwa siku hizi, mara kumi wachukue kombe hao kuliko Man Utd au Chelsea..
    Japo at once basi shikeni na nyie kombe la Premier kwa mara ya kwanza maana hamjawahi kabisa kuligusa..

    ReplyDelete
  6. Vipigo vya mwizi vinaendelezwa tena na tena,lazima muipatepate joto ya jiwe muda huu,sipatii picha wanaokuja watavyokuwa na uoga wa nafsi hadi mwili,natumai tutaendelea kuwamadrid watu the same until tuone wanatuachia hizo kombe zetu au wasemaje michuzi?NA sie tuanze kuzungumzia kuhusu double sasa maana wao quintuple zao zinakaribia kupoteza mwelekeo!
    Oyo!

    ReplyDelete
  7. Baloooozzii na Mkuu wa wilaya ya Wazo Hillllllllliiii, watu weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hiyo siyo nzuri sasa hata kama mgonjwa yupo mahututi dozi siyo hivyo. Duuhh, now I can breath. What next.

    ReplyDelete
  8. Mkuu katimu kako kanatisha si pole pole, yaani hadi raha! mje mnichapie na wale wanaojiita wazee wa EPA(chelsea)

    ReplyDelete
  9. Kelele nyiingi wakati hakuna hata goli moja la open play zote ni set pieces tupu. Hongeleni sana lakini itabidi mbadilike muache kucheza kwa kuvizia ,staili mnayotumia huwezi kucheza na timu ndogo kwani wao ndio wanahaki ya kuvizia hadi ukoseee wakujibu.

    ReplyDelete
  10. hapo kuna watu roho za panda nzuka

    L pool akishinda na naona shetani kwa lezima imemuangamiza jumla labda mpaka easter ikiisha teh hehe hhe hehe

    ReplyDelete
  11. Penati mbili zina maswali, pia red card, wangekuwa MAN U, makelele yangekuwa kibao, marefa nao ni binadamu msiwe mnapiga kelele ssssaaaana. Anyway you are in great form no question about it, let's wait and see if you will maintain this form consistently to the end and at the same time praying MAN U to continue in this off-form

    ReplyDelete
  12. LiverFools hongereni kwa ushindi mnono.mnastaili kwa hapo.
    Mdau wa juu kati hapo nakuunga mkono,Liverpool Formation yao ni 4-5-1 maana yake unavizia sana na mnabana sana.ukweli ukiangalia magoli mengi msimu huu ya liver utakuta ni kama hvyo penalt,set pieces au mipira toka kwa REINA.kipa wenu ana assist nyingi kuliko baadhi ya midfielder na striker zenu.
    ACHENI KUVIZIA toeni burudani kama arsenal au barca.
    Redcard ya kuonewa na Penalt pia ndio maana hata TORRES alijisikia vibaya na aibu japo kuwa isingeweza kubadili matokeo kwa aston villa kurudi kwenye gam ila wameharibiwa maana kipa wao tegemezi watamkosa katika mechi muhimu ikiwemo ya man u.

    ReplyDelete
  13. ushindi mnono ila game haina mvuto.Barcelona kaua mtu 6-0 na watu wameenjoy hadi dk ya 90 inafika watu wanataka game iendelee wanadai imekuwa fupi kisa BURUDANI.liver kazi kuvizia tuuu kwa kweli.magoli ya kufungwa na STOKE CITY hayo sio ya timu kubwa kama nyie.4-5-1 formattion ya kujihami sio ya kuattack au kutoa burudani,mnabana uwanja.4-3-3 au 4-4-2 lazima burudani ionekane.all in all congrats.MARCH imeisha,kwenu ilikuwa nzuri kwa wengine ilikuwa mbovu,APRIL inaangukia kwa timu gani?
    Fanyeni uchunguzi muone kuwa kila mwezi lazima kuna timu zitafanya vibaya na kuna zitakazofanya vizuri.MAY inanukia kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal mikono itakuwa juu au ni midomo itakuwa juu?

    ReplyDelete
  14. Wadau mi naona THE KOPS tumewatafutia matatizo MAN U maana hawa jamaa VILLA ninavyowajua next match na MAN watakuwa kama MBOGO aliyejeruhiwa.Sasa naona wadau wanaanza kukubali ile kauli maarufu kule ENGLAND "Liverpool is the most 'succesesful' club in England"Mwaka huu UEFA CL CUP na Ubingwa wa England ni vyetu,nani atatuzuia? TIKA,THE KOP MONTRÉAL(CANADA)

    ReplyDelete
  15. NDIO MAANA WANAITWA LIVAFOOL

    WANAKUMBUKA SUKA WAKATI KUSHAKUCHA.

    ReplyDelete
  16. Kaka Michuzi nyinyi pigeni kelele, lakini Ubingwa ni wetu, unajua sisi Man U huwa tunafanya makosa madogodogo kama hayo, lakani wewe mwenyewe siunajua Man U wakishaingia mwezi April, basi jamani chekeni kwa muda,

    Iddi

    Boston

    ReplyDelete
  17. Tatizo lenu washabiki wa manure ni kidomodomo, mara oh tunaongoza, mara tuna gemu moja mkononi. Taabu kwelikweli mtaanzaje kukoka moto kwa ajili ya ndege ambaye bado yuko mtini? Na hiyo tarehe 5 mnakutana na hao majeruhi wenzenu mbona shughuli. Scholes, rooney na nemajic wote nje. Uuwiiih mwafa.

    ReplyDelete
  18. Mzee "ZIZU" alishasemaga kuwa SG ni kifaa bora duniani. Kweli Liverpool sasa inatishia maisha ya wakina MAN U....,Habari zaidi ya ZIZU hapa http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=1409370&&Cat=6

    Mdauz JP

    ReplyDelete
  19. Narudia tena kauli hii: Panapo ukweli uongo hujitenga.

    ReplyDelete
  20. wadau wengine mradi 2 waoshe vinywa.Liverpool anatoa dozi kuanzia 4 hadi 5 mnaita magoli ya kuvizia.Manure alivyotoka ktk World Club Cup/Championship alikuwa alitoa dozi za goli moja moja takriban game 5 mfurulizo tena mostly dkk za lala salama lkn haikuitwa kuvizia.hahaha be fair wadau.msiwe kama Mzee Fergie kutaka kutoa facts ili kumpinga Benitez matokeo yake kumbe fact zake za Enzi ya kina Legend Kenny Dalglish.

    na kuhusu 4-5-1,hiyo fomesheni iko more flexible kwa Liverpool kutokana na kuwa na Strika mmoja muhimu.hiyo 4-5-1 hata timu ye2 ya chuo tulikuwa tunatumia.kama timu ikiwa inashambulia hugeuka kuwa 4-3-3 na kama hawana mpira hurudi kuwa 4-5-1.thats how we played na pia how Liverpool play.
    ila sababu kuu ni kutokuwa na Strike force ya kutosha.
    Manure hutumia 4-42 lkn wanapohitaji haswa magoli hubadili na kucheza 4-3-3.

    ReplyDelete
  21. Barbetov nae hatakuwepo anaumwa hivyo MAN U watawakosa rooney,vidic,schooles na barbetov hivyo vila watawatungua 3-1.ubingwa unakwenda kwa balozi michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...