Odd Fellows Hall
wanakuletea:
"Hii ni Kwaresma"
Jumapili tarehe 29/03/09
saa 8.30 Mchana (2.30pm)
Yesu anasema:
"Mtu akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate."
Mark 8:34
Ni wakati mwingine wa kumtukuza Mungu pamoja katika majira haya ya kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Hii ni Kwaresma.
"Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani kwa Bwana"
Wote mnakaribishwa
Address:
Odd fellows
118b Oxford Road
Reading
Berks
RG1 7NQ
------------------------------------------------------------------
GOSPEL-GOSPEL- GOSPEL (IN SWAHILI LANGUAGE) WHERE : THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES OF HYATTSVILLE- (KANISA LA NJIA YA INJILI YA MSALABA LA HYATTSVILLE) MARYLAND, USA ADDRESS :3621 CAMPUS DRIVE, COLLEGE PARK, MD 20740 CONTACT :301-237-2746 (ROSE) 301-806-1760( FED) DATE : MARCH 29, 2009 ( THIS SUNDAY) AT 1:00-3:00PM PREACHER : BISHOP PETER MABULA KITULA FROM TANZANIA SPECIAL : PRAYERS AND COUNSELING WILL BE PROVIDED FOR THOSE WHO ARE IN NEED : LUNCH WILL BE PROVIDED BISHOP’S PROFILE Bishop Peter M. Kitula Bishop Kitula took his higher Theological studies at Scott Theological College, Machokos, Kenya (Diploma in Theology, 1980) where he earned a B.A in Biblical Studies (CIU 1983) and at Colombia International University where he earned an M.A. in Missions (1984). He is also the author of Christian books which have been the great blessings to East Africa. Bishop Kitula has worked as a lecturer at Majahida Bible School(1980-1982;1984-1986), a student Pastor of Mwanza Region (1987-1989), a Pastor of Chang’ombe Pastorate, Dar es Salaam (1989-1991), a Lecturer at Nassa Theological College, (1992-1993). He has been the Bishop of Mara & Ukerewe Diocese since November 1993. The Lord has blessed Bishop Kitula and his wife Esther with eight children. Personal email: askkitula@juasun.net Mobile phone: +255 748 348017 YOU ARE ALL INVITED-WOTE MNAKARIBISHWA
Bishop Kitula is the first bishop of Africa Inland Church Tanzania for Mara and Ukerewe Diocese. He is currently, a first Vice chairman of Christian Council of Tanzania (CCT). He was ordained to be a bishop of AICT in 1993.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...