Mbunge wa Same Mashariki Mh. Anne Kilango Malecela amepewa tuzo na Ubalozi wa Marekani ya '2009 Tanzanian Woman of Courage'. Tuzo hiyo amekabidhiwa leo na Afisa wa Ubalozi Marekani Larry André. Mwanamke wa kwanza kupata tuzo hiyo ni Hellen Kijo Bisimba 2009 wa Kituo cha Haki za Binadamu. Kilango amepata tuzo hiyo kutokana na ujasiri wake aliouonyesha Bungeni mwaka jana kwa kupigavita ulajirushwa.
Home
Unlabelled
marekani yamtunuku tuzo anne kilango malecela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ANASTAHILI,MAMA JASIRI SANA HUYU,KEEP IT UP ANNA, TANZANIA NEED STRONG PEOPLE LIKE YOU!
ReplyDeleteCongratulations!!You are an amazingly strong and successful woman.
ReplyDeleteHii ni haki yako kupata hiyo tuzo, lakini tunaomba isiwe nguvu ya soda, kwani `vikao vya pembeni' huwa vinawamalizaga nguvu. Juweni kuwa mumepewa dhamana, na hiyo mtaulizwa kwa Mungu, kuwa mliisaidiaje jamii.
ReplyDeleteKula kura uliyopata itakusuta, wapo ambao tangu wachaguliwe hawajafanya lolote, wanasubiri uchaguzi ujao waje kudanganya tena. Sawa tudanganye sisi lakini Mungu anawaona
M3
Anna Kilango ni mwanamama jasiri,na hana woga; yaani Tanzania ingekuwa na viongozi 10 tu wa aina hii, siyo bungeni tu hata katika baraza la mawaziri maana ndo watekelezaji wenyewe wa sera, jamani tungekuwa mbali.Big up Anna! you're my number 1, Mungu azidi kukubariki usirudi nyuma.
ReplyDeleteHongera sana mama, sisi tunaofuatilia uwajibikaji wako, atukushangaa kusikia hivyo. umekuwa mama jasili na daima umejitoa kwa nguvu zako zote kuitetea nchi yako. na kama awatakuwekea magogo,na kurudi nyuma basi tegemea mengi mazuri.
ReplyDeleteHongera sana mama, sisi tunaofuatilia uwajibikaji wako, atukushangaa kusikia hivyo. umekuwa mama jasili na daima umejitoa kwa nguvu zako zote kuitetea nchi yako. na kama awatakuwekea magogo,na kurudi nyuma basi tegemea mengi mazuri.
ReplyDeleteHongera sana mama, unastahili hiyo tuzo. US wameonyesha njia wadau wengine pia tuwe na utamaduni wa kutambua michango ya watu jasiri kama huyu mama na kuwatia moyo regardless wanatoka chama gani. Viva wazalendo wenye uchungu na nchi yao.
ReplyDeleteMama Anna hongera sana, hpngera pia kwa kumpata huyo mzee Malecela. Kula vitu vyako kiulaiiini huku unasinzia kwa mapozi.Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteisiwe ndio mwisho hapa tunakutaka sasa uzidi kupiga vita kwa nguvu zote ?
ReplyDeleteYOU DESERVE MAMAAA HONGERA SANA
ReplyDeleteJK MPE HUYU MAMA UKUU WA MKOA WA DAR, UTAONA MABADILIKO NA UVIVU WA WATENDAJI UTAKOMESHWA. JARIBU UONE...
ReplyDeleteMama tulikuchagua sisi wanajimbo kusukuma maendeleo sio kutafuta umaarufu kwa kuburuzana na serikali!
ReplyDeleteHana lolote mi kwa upate wangu naona anabwabwaja tu..kuna strong woman kwenye CCM kuliko yeye wanamwangalia tu anavyopayuka.
ReplyDeleteA strong woman works out everyday to keep her body in shape…
ReplyDeleteBut a woman of strength builds relationships to keep her soul in shape
A strong woman isn't afraid of anything…
But a woman of strength shows courage in the midst of fear.
A strong woman won't let anyone get the better of her…
But a woman of strength gives the best of herself to everyone.
A strong woman makes mistakes and avoids the same in the future…
A woman of strength realises life's mistakes can also be unexpected blessings, and capitalises on them
A strong woman wears a look of confidence on her face…
But a woman of strength wears grace.
A strong woman has faith that she is strong enough for the journey…
But a woman of strength has faith that it is in the journey that she will become strong.
Huyu mama kwakweli ya mungu simkubali na huo ubalozi wa marekani ni radical left, ukiona hivyo ujue kuna jambo wanataka kuchochea na mtu waliomuona anaweza kuwasindikiza kwenye ukamilifu wa hiyo agenda yao sio mwingine ila ni huyu mama mropokaji. kama yeye ni hodari mambo haya na maswala haya angeyaongelea bungeni mapema zaidi na sio mpaka vyombo vya habari vimeongea bunge limesema!!!! she has nothing to be awarded for. unagombesha na kupayuka hovyo!! ungekuwa hivi hata nyumbani huyo mwanao Nafue asingekuwa mbea na mwenye tabia nyingi chafu. Michuzi tafadhali post this.
She is just noisy and protected.
ReplyDelete