JK akiagana na na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr. Salmin Amour baada ya kuhudhuria Maulid iliyoandaliwa na Dr.Salmin huko kijijini kwake Kidombo huko Zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Shavu la Dr.Salmin limekaa vizuri kwa kulinasa kibao, sijui ni lini atatokea mtu wa kuniunga mkono huko uraiani.
    Nasikia wananiunga mkono kwa maneno tu lakini woga umewajaa tele maiamamu wetu wa siku hizi na waumini njaa.

    ReplyDelete
  2. walinzi wa rais wapi?

    tunaogopa isije ikampa kama mzee Ruksa?

    kwani zama hizi inaonyesha ni za akina kupigana mabao,viboko na kupopoana!

    Mpaka sasa yaonyesha muungwana alisha popolewa kule Mbeya..
    Bush naye kule Iraq..

    walimu wa Katerero walishapa mboko..
    juzi juzi tu mzee wa watu kalamba kibao..

    nani atafuata?

    shime wana usalama wa viongozi tupunguzieni aibu kwa majirani zetu

    ReplyDelete
  3. Shavu la BM (mzee wa uwazi na ukweli)ndiyo limekaa bomba kwa kuchapwa kibao maana limeumuka hilo kwa fedha za walalahoi utadhani andazi; tehee!!! teheeee!!!

    ReplyDelete
  4. hapo wanajidai wanacheka kumbe loo roho ziko juu kwa kuogopa vibao.

    ReplyDelete
  5. ama kweli utawala una mwisho na mh amani mwisho wake upo karibu.

    ReplyDelete
  6. hivi jamani JK hana koti lingine? maana kila nimuonapo na hilp koto 2!

    ReplyDelete
  7. Ujio huo wa kikwete Kindombo sio Bure kuna namna hapo tusubiri hatma yake tutaijuwa itakapofika
    :-))

    ReplyDelete
  8. wewe unaeuliza kwanini jk anavaa koti hilo kila siku nafikiri huoni vizuri. tafadhali nenda ukapime macho yako. pengine ulikuwa hauna la kusema ndio ukauliza swala la kijinga. jk amekua akionekana na makoti au mashati tofauti. kwani unataka avae koti mara moja na kulitupa.

    ReplyDelete
  9. boss michuzi coment yangu hujaitoa, nimewaambia watz wampe mda komandoo na ye atakula kibao kutoka kwa mzenji, iweke hii coment, hakuna ubaguzi kusema watz au mzenji, m mzenji

    ReplyDelete
  10. Wee Anonymous March 15 9.13pm

    Wacha kumkandia jamaa... Ni kweli kabisa JK analivaa sana hili koti mpaka inatia kichefu chefu sasa..kwani Rais mzima koti ni moja tu au la dawa?
    Hata hivyo angekuwa mtu wa staili alitakiwa kupiga kanzu koti jeusi bwana sio la vingazi ngazi kama hilo alivaa..

    ReplyDelete
  11. Hiyo koti ni maalum kutoka waganga wa BWAGAMOYO!

    Next kulipata shavuni ni Mkapa!

    ReplyDelete
  12. Hivi watu wengine muna ubongo wa kuku?Badala ya kutoa maoni yenye mantiki mumekalia kuelezea koti la mheshimiwa,acheni umbumbu ama sivyo nitawatia bakora kuwafunza adabu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...