kwa katuni na fotoz zaidi tembelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HII KATUNI AIBU

    ReplyDelete
  2. hawa Wanaojidai kuwa niwaganga,na kuwaibia watu wasiokuwa na akili ,mbona hawafanyi hizo dawa zao leseni zao zikafunguliwa?badala yake wanataka kwenda mahakamani kama wanavyofanya binadamu wa kawaida?waganga sio binadamu wa kawaida,kwani wasingelitia viungo vya ndugu zetu albinos ndani ya chungu na kuvipika eti wanawatengenezea ndugu zetu wajinga zali la kutajirika,kwanini wasifanye wenyewe kuwa matajiri bila kudanganya watu?kama mganga hawezi kujifnya awe tajiri kwanini wasitumiane wenyewe kwa wenyewe kupena utajiri? ni ujinga mtupu na mambo yanayozorotesha maendeleo africa, wawache wafanye dawa zao ili serikali ifungue leseni zao,hawa ni mafisadi kuliko wanoiba hela,

    ReplyDelete
  3. Faida kubwa iliopataikana ni kwamba kiasi cha ushirikina kitapungua.

    ReplyDelete
  4. Kweli nimekubali kwamba Duniani hakuna UCHAWI bali mazingaombwe tu!Uchawi ungekuwepo,basi yule aliye amuru leseni za waganga wa jadi zifungwe 'angesharogwa siku nyingi"!Wachawi sasa wameumbuka!Vijijini msikubali kuamini mambo hayo ya ushirikina,ni usanii mtupu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...