JK akipiga mpira kuzindua rasmi Jeshi la Maendeleo la visiwa vya Comoro huko Fomboni katika kisiwa cha Mohelim akiwa kati hatua za mwisho za kuhitimisa ziara yake visiwani humo
JK na mwenyeji wake rais wa Comoro Mh. Ahmed SAmbi wakipokea heshima toka kwa gadi iliyoandaliwa kwa mjo wake kisiwani hapo katika siku ya mwisho ya ziara yake visiwani humo. JK kesharejea dar toka jana jioni


JK na rais wa Comoro Mh. Ahmed Sambi wakikagua gwaride rasmi katika kisiwa cha Moheli kabla ya kuamaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo


JK na mwenyeji wake wakiangalia ngoma za utamaduni baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bandar Salam kisiwa cha Moheli


kinamama wa kisiwa cha moheli wakimpokea JK na rais wao






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Wazee inaonyesha huko Comoro ni balaa tupu..!!! Mboni hakuna taswira jamani Duhhh ama kweli Comori...!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Kula leki lol check Airport hiyo Damn..!!!!

    ReplyDelete
  3. KUMBE NDEGE YA RAIS WAPIGA RANGI MPYA, NILIKUWA SIJAJUA

    ReplyDelete
  4. Neno 'MJO' linanikumbusha Dar-es- Salaam ya Bongo ya zamani wakati kiswahili halisi kilikuwa kinazungumzwa nikiwa mtoto miaka ya 1970.

    ReplyDelete
  5. Mie nifikiri JK mtu wa Fabo mbona kapiga DOchi?

    ReplyDelete
  6. mheshimiwa rahisi nakukumbusha na ziara za mahospitalini na sehemu za watoto yatima na maskini watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa na njaa tafathali naomba utekeleze na hilo! Dawa na misaada kwa watoto yatima

    ReplyDelete
  7. MIMI NINA WAZO: HIVI KWA NINI TUSIICHUKUE COMORO IKAWA NI MOJA YA MUUNGANO WETU, NADHANI HII INGESAIDIA KUINUA UCHUMI WAO PIA INGESAIDIA KUMALIZA MVUTANO ULIOPO KATI YA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. HII IMEKAAJE WADAU?

    ReplyDelete
  8. Hapo JK kama Chuji japo yaonekana anajaribu kupiga kama zile za HENRY.

    ReplyDelete
  9. Muacheni JK hiyo inaitwa BANANA CHOP

    ReplyDelete
  10. Hiyo ndiyo Komoro/Ngazija. Kisiwa hicho ni kama nyumba isiyo na milango halafu mwenyewe kalala. Palikuwepo mamluki mmoja wa Kifaransa akiitwa Bob Denard yeye alikuwa anaingia Komoro na kupindua serikali kwa ridhaa zake. Kama sikosei aliwahi kushiriki mapinduzi ya utawala kisiwani humo mara nne!

    Bob Denard alifariki sijui nieme alikufa mwaka 1997. Angelikuwa hai sijui kama tungeziona hizo picha unazotuonyesha.

    Baada ya kufa Bob Denard sasa sijui Watanzania ndiyo tumerithi shughuli yake ya kuwalinda wakuu wa kisiwa cha Komoro?

    ReplyDelete
  11. Mayotte backs French connection
    Map

    The people on the Indian Ocean island of Mayotte have voted overwhelmingly in favour of it becoming an integral part of France.

    The French Interior Ministry said the vote was more than 95% in favour.

    The result had been widely predicted, with supporters of the move pointing out the economic gains available.

    The referendum has caused controversy in the region, because the Comoros have always laid claim to Mayotte, which the African Union considers part of Africa.

    The Comoran vice-president said the vote was a declaration of war.

    Geographically, Mayotte is part of the Comoros archipelago, but in the 1970s it voted to remain tied to France as part of an "overseas collectivity".

    While many African countries were fighting for independence, the people of Mayotte resisted separation from France.

    And when the three other islands in the Comoros archipelago became independent in 1975, Mayotte remained part of France.

    Stability

    The Comoros islands probably hold the world record for coups, says the BBC's Africa analyst Mary Harper.

    There have been more than 20 coups and secession attempts since independence, while Mayotte has remained stable.

    It also has a much stronger economy, with a GDP about 10 times higher than that of the Comoros.

    Despite Mayotte's close ties with France, it would be wrong to see this tiny island of fewer than 200,000 people as a sort of mini-France, our correspondent says.

    Although French is the official language, only about 50% of the population can read or write it.

    It is a predominantly Muslim country, where polygamy is practiced and girls can marry at the age of 15.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...