JK akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Exim Bank tawi la Moroni akiongozana na mwenyeji wake Rais wa visiwa vya Comorros Mh. Ahmed Sambi jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Moroni tambarare

    ReplyDelete
  2. Well,well,well BIG UP EXIM!This is something to be proud of,no doubt.This should pave way to other areas of cooperation in trade and other economics for the benefit of both countries!COULD ALSO save as a Show Case to other African countries.Ni jambo la kujivunia kwa EXIM BANK na kwa nchi zote mbili kwa ushirikiano huu mzuri ambao ukilelewa vizuri matunda yake yataweza kuvutia ushirikiano hata katika nyanja zingine za biashara na uchumi.

    ReplyDelete
  3. Hapo macho kumchuzi mkono ku maharageeeee

    ReplyDelete
  4. comoro ladies are beautiful! sijui kama majeshi yetu hayakuacha watoto wachanga huko?

    ReplyDelete
  5. Picha nzuri sana.Kamera gani hii michuzi?

    ReplyDelete
  6. jamani kweli watoto wa kingazija wazuri na hata waliopo hapa tanzania nao wapo juu, wazuri na wanajua kwenda na wakati tena wametulia wanafaa sana kuwaweka ndani. michu tuletee basi picha za mademu nyingine wale wazuri wazuri wengine hatujaoa tunaweza kwenda kupata mke huko.

    ReplyDelete
  7. Mdau nimekubaliana na wewe hapo juu.Mie ni Mngazija nnaoishi dar es salaam. Thanks for the compliments!

    Tuko juu, muungano basi!

    xoxox (lol)

    ReplyDelete
  8. Tumechelewa sana kuwa wawekezaji katika sekta ya benki. Sijui Dk. Kimei na kupenda kote kujitangaza haoni kwamba Uganda ambako kuna watanzania 50,000 ni soko kubwa kwa benki yake kuanzia na transfer za ada za wanafunzi wanaosoma huko? Je tuko wapi watanzania kuwekeza Kenya, Rwanda, Burundi, Sudan ya kusini? Sehemu zote hizo KCB ipo. Watazania tutabaki kujifanya tunajua kumbe Mmmmm!!!

    ReplyDelete
  9. mwanamke reception, babu. Ama siyo?..mnaozungumzia urembo wa wangazija, ingebidi picha hii ipigwe kutokea upande mwingine (si upande wa kichwa, ule wa mwenge!).....

    ReplyDelete
  10. anon 25, 7:16, umenena mwanamke reception, sasa hapo ni kujisifia wenyewe tu maana hapo tunaona kisogo, kwanza wangazija wana sura nzito mwanamke utafikiri kafanana na baba yake!
    ukweli ndo huo!

    ReplyDelete
  11. wa moroni wote kwezii

    ReplyDelete
  12. Hizondaboo! wamoroni wanaharasha wanahizaya, ella wanjuani kidogo alhamdulillahi!

    ReplyDelete
  13. WANAWAKE WA TANZANIA WAZURI BWANA ACHA MCHEZO.WANACHONICHUKIZA NI ULIMBUKENI WAO WA KUJIFANYA MATAWI YA JUU....ULIMBUKENI NA KUWA TEGEMEZI KWA WANAUME KIMATUMIZI....HAPO NDIPO WANAWAKE WA KENYA NA NCHI NYINGINE JIRANI WANAZIDI MAARIFA...

    ReplyDelete
  14. michuzi naomba kuosha kinywaaa?
    pleeeeeease! niko chini ya miguu yako nakuomba?!

    ReplyDelete
  15. JK KAHAIDI TANZANITE KWA DEMU WA BBC SIJUI KASHAMPA?.ilikua kwenye kikao cha G20 bongo

    ReplyDelete
  16. EXIM BANK IS NOT PURELY A TANZANIA BANK, IS AN AMERICAN BANK, IS VERY SIMPLE JUST ASK PROFESSOR GOOGLE NA ATAKUELEZA EXIM BANK IKOJE? TUNGEJIVUNA KAMA CRDB IMEFANY HIVYO, KWA SASA HATA NBC IKEFANYA HIVYO SI KITU CHA KUJIVUNIA KWA VILE NBC NI TAWI LA BENK YA SOUTH AFRICA.

    ReplyDelete
  17. EXIM BANK NI BANK YA U.S.A. IPO DUNIANI KOTE, TUANZISHE BENKI ZETU ZENYE MAJINI YETU KAMA VILE MWAKALELI BANK, HAI BANK, MWANARUMANGO BANK, KARIOKO, NGONYANI BANK, THEN WE COULD BE PROUD OF OURSELVES IF THEY TAKE OFF INCREDIBLY.

    ReplyDelete
  18. Alotia 'Ndabo' na 'mwanahizaya' kashaibiwa nini???


    heheeeeeeeeeeeeee. sikupi pole 9nakuangulia kicheko)

    xoxoxox

    ReplyDelete
  19. Exim bank nia ya watanzania asilimia miamoja. ni jina tu wamecopy. lakini share zote ni za watanzania.

    ReplyDelete
  20. Nyie ma-anon mnaodai Exim ni ya Wamarekani eti kwa sababu kuna benki huko inaitwa Exim basi mkija mtaani kwetu na kukutana na Old Trafford Guest House si ajabu mtadai ni Waingereza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...