Home
Unlabelled
JK atembelea Exim bank tawi la Moroni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Moroni tambarare
ReplyDeleteWell,well,well BIG UP EXIM!This is something to be proud of,no doubt.This should pave way to other areas of cooperation in trade and other economics for the benefit of both countries!COULD ALSO save as a Show Case to other African countries.Ni jambo la kujivunia kwa EXIM BANK na kwa nchi zote mbili kwa ushirikiano huu mzuri ambao ukilelewa vizuri matunda yake yataweza kuvutia ushirikiano hata katika nyanja zingine za biashara na uchumi.
ReplyDeleteHapo macho kumchuzi mkono ku maharageeeee
ReplyDeletecomoro ladies are beautiful! sijui kama majeshi yetu hayakuacha watoto wachanga huko?
ReplyDeletePicha nzuri sana.Kamera gani hii michuzi?
ReplyDeletejamani kweli watoto wa kingazija wazuri na hata waliopo hapa tanzania nao wapo juu, wazuri na wanajua kwenda na wakati tena wametulia wanafaa sana kuwaweka ndani. michu tuletee basi picha za mademu nyingine wale wazuri wazuri wengine hatujaoa tunaweza kwenda kupata mke huko.
ReplyDeleteMdau nimekubaliana na wewe hapo juu.Mie ni Mngazija nnaoishi dar es salaam. Thanks for the compliments!
ReplyDeleteTuko juu, muungano basi!
xoxox (lol)
Tumechelewa sana kuwa wawekezaji katika sekta ya benki. Sijui Dk. Kimei na kupenda kote kujitangaza haoni kwamba Uganda ambako kuna watanzania 50,000 ni soko kubwa kwa benki yake kuanzia na transfer za ada za wanafunzi wanaosoma huko? Je tuko wapi watanzania kuwekeza Kenya, Rwanda, Burundi, Sudan ya kusini? Sehemu zote hizo KCB ipo. Watazania tutabaki kujifanya tunajua kumbe Mmmmm!!!
ReplyDeletemwanamke reception, babu. Ama siyo?..mnaozungumzia urembo wa wangazija, ingebidi picha hii ipigwe kutokea upande mwingine (si upande wa kichwa, ule wa mwenge!).....
ReplyDeleteanon 25, 7:16, umenena mwanamke reception, sasa hapo ni kujisifia wenyewe tu maana hapo tunaona kisogo, kwanza wangazija wana sura nzito mwanamke utafikiri kafanana na baba yake!
ReplyDeleteukweli ndo huo!
wa moroni wote kwezii
ReplyDeleteHizondaboo! wamoroni wanaharasha wanahizaya, ella wanjuani kidogo alhamdulillahi!
ReplyDeleteWANAWAKE WA TANZANIA WAZURI BWANA ACHA MCHEZO.WANACHONICHUKIZA NI ULIMBUKENI WAO WA KUJIFANYA MATAWI YA JUU....ULIMBUKENI NA KUWA TEGEMEZI KWA WANAUME KIMATUMIZI....HAPO NDIPO WANAWAKE WA KENYA NA NCHI NYINGINE JIRANI WANAZIDI MAARIFA...
ReplyDeletemichuzi naomba kuosha kinywaaa?
ReplyDeletepleeeeeease! niko chini ya miguu yako nakuomba?!
JK KAHAIDI TANZANITE KWA DEMU WA BBC SIJUI KASHAMPA?.ilikua kwenye kikao cha G20 bongo
ReplyDeleteEXIM BANK IS NOT PURELY A TANZANIA BANK, IS AN AMERICAN BANK, IS VERY SIMPLE JUST ASK PROFESSOR GOOGLE NA ATAKUELEZA EXIM BANK IKOJE? TUNGEJIVUNA KAMA CRDB IMEFANY HIVYO, KWA SASA HATA NBC IKEFANYA HIVYO SI KITU CHA KUJIVUNIA KWA VILE NBC NI TAWI LA BENK YA SOUTH AFRICA.
ReplyDeleteEXIM BANK NI BANK YA U.S.A. IPO DUNIANI KOTE, TUANZISHE BENKI ZETU ZENYE MAJINI YETU KAMA VILE MWAKALELI BANK, HAI BANK, MWANARUMANGO BANK, KARIOKO, NGONYANI BANK, THEN WE COULD BE PROUD OF OURSELVES IF THEY TAKE OFF INCREDIBLY.
ReplyDeleteAlotia 'Ndabo' na 'mwanahizaya' kashaibiwa nini???
ReplyDeleteheheeeeeeeeeeeeee. sikupi pole 9nakuangulia kicheko)
xoxoxox
Exim bank nia ya watanzania asilimia miamoja. ni jina tu wamecopy. lakini share zote ni za watanzania.
ReplyDeleteNyie ma-anon mnaodai Exim ni ya Wamarekani eti kwa sababu kuna benki huko inaitwa Exim basi mkija mtaani kwetu na kukutana na Old Trafford Guest House si ajabu mtadai ni Waingereza.
ReplyDelete