Home
Unlabelled
JK katika mazishi ya mtoto wa kaka yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nafikiri kiswahili safi ni kanzu ya rangi HUZURUNGI
ReplyDeleteTafadhali kumbuka kuna watu wengi wasoma blog kujifunza lugha
Naomba samahani,mie si makujua
Wakatabahu
Nadhani kiswahili safi sio HUZURUNGI ni HUDHURUNGI
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza na wewe umekosea sio HUZURUNGI ni HUDHURUNGI.
ReplyDeleteWafiwa tuko nanyi katika sala na maombi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, poleni sana.
Inna lillaah wa inna illaah rajiun.
ReplyDeleteSasa anony wa kwanza hicho ni kiswahili safi? manake unakosoa mwenzio wakati ww mwenyewe uko wrong!! Toa kwanza kibanzi ndani ya jicho lako..
ReplyDeleteHUYO JAMAA ALIESHIKA SIJUI,KAMERA AU KITABU SIJUI NINI,INAONEKANA HAYUPO KABISA KIMAWAZO KATKA SUALA HILO YEYEYUPO KIMWILI,HEBU MCHEKI ANAKOANGALIA AU NDIYO MAMBO YA TAHADHARI BOSI AZIZABULIWE KIBAO
ReplyDeleteMdau wa 3.08 naomba samahani. Kiswahili nilichosema kama mdau wa kwanza ni safi na halisi.Mdau wa pili kasema kwamba nimepotea kidogo kwani hiyo rangi ni hudhurungi siyo huzurungi.Nakukumbusha katika lugha ya kiswahili--zu na dhu- are interchangeable kama vile huzuni na hudhuni,uzaifu na udhaifu.Bila shaka wewe nami twatumia kamusi tofauti na tuna tofauti ya kijografia tulipo zaliwa
ReplyDeleteWakatabahu
Ohooo... hapa masibani patakua hapatoshi sasa hivi, maana waswahili na waswahilina wameanza hapa hapa, mara rangi ya uzurungi, udhurungi, udhuru. mara rangi ya kahawia. Mara rangi ya samawati, mara rangi bahar mara rangi ya magharib. Haya bwana kupotea njia ndo kujua njia, na kujifunza kwaja hivihivi ila usiwe mbishi bila sababu toshelevu tu.
ReplyDelete