Home
Unlabelled
JK na afande mwamunyange watunukiwa nishani comoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hivi mwamunyange ana watoto wa kike,kwani jicho hilo mwana, ni noma eti.
ReplyDeleteJicho jicho hilo la kinyakyusa. Akiwa na binti basi itakuwa ni balaa tupu utaibiwa mzima mzima watu watasema amekuloga.
ReplyDeleteJicho hilo Mwanangu shuti linaita, Bwana wewe hilo jicho mwanangu, walipate,Binti zako mwanangu weee!!! manake watakua warembo wa jicho si mchezo.
ReplyDeletewee, usituzingue hapa, kila ukienda ukirudi jicho jicho jicho!
ReplyDeletehuna ulichokiona ila hilo? ovyoo!
jenerali mzima wa jeshi la tz unavaa asumini aghhhhhhhhh!
ReplyDeleteCHONDE CHONDE WASIFANYE MCHEZO WA KOMORO MADAGASCAR KWANI TUTAACHIWA WAJANE NA YATIMA WENGI KWANI KULE NI MAJI MAREFU...
ReplyDeletejamani mie hayo macho hoi bin taabani. Yaani huyu mkuu angekuwa mwanamke ingekuwa balaa kubwa jijini. macho yanaita tu yenyewe. Anyway pongezi sana kwa kutunukiwa hizo medal.
ReplyDeleteAnon. mar 29 1:59 Pole kwa kukereketwa na hizo asumini, naomba ukumbuke kila nchi ina tamaduni zake na vitu vya thamani wanavyovithamini na kuvipa hadhi kubwa hasa katika kuonyesha upendo na furaha, kumkirimu na kumkaribishia mgeni. m.f nchi nyingi hutumia roses ambapo linaonekana ni ua la thamani kubwa kimtazamo na kharufu yake ni nzuri sana, sasa hizo asumini ingawa ni ndogo sana hata ikiwa moja tu imejifichakharufu yake inahanikiza, na hapo hilo shada akae nalo hata kwa robo saa tu kisha alivue basi koti kama halijafuliwa litanukia hadi anarudi Tanzania harufu haijafifia, hiyo ndo siri ya maua hayo, zaidi ni kuwa hivyo viji-ua kwa tamaduni za watu wa pwani ni ua la thamani sana na linapendwa sana hasa maharusini au kinamama kutunga na kuweka kwenye nyele kama kibanio,au kuweka makabati ya nguo na kadhalika na kadhalika, kwani ni marashi asilia, wale wangazija, tanga, unguja, pemba na wazaramo wanajua zaidi khabari zake kwa kusisimua miada ya pua.
ReplyDeleteWe Mbwige nini hapo juu ulitaka avae nini? Kila nchi inautamaduni wake..Hao huoni wanautamaduni wa kipwani?
ReplyDeletewatu weweeeeee...ful jicho...WANYAKYUSA OOOOYEEE!!!KIDUMU!!
ReplyDeletewewe uliyeguswa na asumini ni kwa nini hukumpigia kelele mheshimiwa rais ilahli nae pia kavishwa? kumbuka kila nchi zina tamaduni tafauti.
ReplyDelete